PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni muda wananchi nao waje na mapanga yao tu sasa.

NO REFORMS NO ELECTION
 
Toeni taarifa Police mapema iwezekanavyo.
 
hivi Brenda Rupia yuko wapi sikuhizi, au ndo bado anauguza mdomo
 
Unatumikishwa hivi kuwajeruhi watu na bado upo kwenye wimbi la umasikini. Mtu mwenye kazi zake na kipato chake hawezi kutumwa kufanya upuuzi huu. Watanzania aisee, unatengenezewa life gumu ili uagizwe kufanya upuuzi kwa malipo ya vijisenti vya kula siku 1 huku kesho hujui utaimalizaje
 
Week hii litatolewa tamko kusitisha ziara ya CHADEMA kisingizio kulinda amani
 
Kwanini polisi hawakuwepo?Hawajui wajibu wao?Polisi matako yenu na mafindo yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…