Mkutano wa injili wa mwakasege;arusha kulipuka tar 28jan-5feb 2010

Mkutano wa injili wa mwakasege;arusha kulipuka tar 28jan-5feb 2010

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yule mtumishi mpakwa mafuta ya bwana ambae mungu amekuwa akimtumia kila sehemu pasipo jai dini waala kabila atakuwa
akihubiri uwanja wa reli kuanzia tar 28jan mpaka 5feb
usikose baraka zako
mungu akubariki
 
Amina baba
ubarikiwe omba mungu akawafungue watu vifungo vyashetani
mkuu karibu kuna uujumbe wa valentine ukausome mungu akaupe impartation ya ajabu,.....
Ubarikiwe
 
Yule mtumishi mpakwa mafuta ya Bwana ambae Mungu amekuwa akimtumia kila sehemu pasipo kujali dini wala kabila atakuwa
akihubiri uwanja wa reli kuanzia tar 28 jan mpaka 5 feb
usikose baraka zako
Mungu akubariki

Asante kwa taarifa Mtumishi.

Mungu katika Jina la Yesu azidi kumbariki Mwalimu C. Mwakasege pamoja na huduma yake. Amen.
 
Dar anakuja lini?? Huwa anatoa timetable yake yote ya mwaka....kama unayo imwage hapa mkuu...
 
Yule mtumishi mpakwa mafuta ya bwana ambae mungu amekuwa akimtumia kila sehemu pasipo jai dini waala kabila atakuwa
akihubiri uwanja wa reli kuanzia tar 28jan mpaka 5feb
usikose baraka zako
mungu akubariki

Jamani tusidanganywe na watu hawa mnawaita wapakwa mafuta??Huyu ni mwanadamu tu wa kawaida uliza vituko vyake pale Peacock Hotel anakofikia!!!!Mwacheni Mungu aitwe MUNGU!!!Msiwaabudu hawa kina Mwakasege,Ngurumo ya Upako na wengineo!
 
Naomba mniombee sijawahi kubahatika kuhudhuria mahubiri yake
mbarikiwe na bwana
 
jamani tusidanganywe na watu hawa mnawaita wapakwa mafuta??huyu ni mwanadamu tu wa kawaida uliza vituko vyake pale peacock hotel anakofikia!!!!mwacheni mungu aitwe mungu!!!msiwaabudu hawa kina mwakasege,ngurumo ya upako na wengineo!
vituko gani abednego?
 
Yule mtumishi mpakwa mafuta ya bwana ambae mungu amekuwa akimtumia kila sehemu pasipo jai dini waala kabila atakuwa
akihubiri uwanja wa reli kuanzia tar 28jan mpaka 5feb
usikose baraka zako
mungu akubariki

Mkuu sio tarehe 28/ ni tarehe 31 siku ya jumapili.
 
Jamani tusidanganywe na watu hawa mnawaita wapakwa mafuta??Huyu ni mwanadamu tu wa kawaida uliza vituko vyake pale Peacock Hotel anakofikia!!!!Mwacheni Mungu aitwe MUNGU!!!Msiwaabudu hawa kina Mwakasege,Ngurumo ya Upako na wengineo!

Abednego ni sawa ni mwanadamu tu wa kawaida,lakini elewa hili ni mtumishi wa Mungu hatuelewi jinsi Mungu alivyomwita ili amtumikie hivyo basi hatupaswi kuwanyooshea wapakwa mafuta wa Mungu vidole,kama unajua ana vituko havituhusu kabisa tumwache amtumikie Mungu wake.
 
Jamani tusidanganywe na watu hawa mnawaita wapakwa mafuta??Huyu ni mwanadamu tu wa kawaida uliza vituko vyake pale Peacock Hotel anakofikia!!!!Mwacheni Mungu aitwe MUNGU!!!Msiwaabudu hawa kina Mwakasege,Ngurumo ya Upako na wengineo!

we kaka usigeneralize mambo, yani kati ya wahubiri wa injili tanzania mwenye heshima na ambae katika neno lake watu wamekua wakimwona mungu basi ni mwakasege tu...ameanza kuhubiri siku nyingi sana kama angekuwa kama hawa unaowasema basi angeshakua na kanisa lake kubwa kuliko hata haya yote yanayosikika....katika lakini bado amekua akijiita mwinjilist c. mwakasege hajahama kanisa lake(lutheran) wala nini....hao wote unaowasikia walihama makanisa yao origino wakaanzisha yakwao lakini yeye always huwa haamini kama kuhama kanisa ndo kupata suluhu ya matatizo bali kubaki na kushirikiana na wengine katika kuyatatua hayo matatizo. ukisikiliza mahubiri yake hutasikia kujikweza wala kukashifu dini au dhehebu la mtu....nakumbuka tanga tulikua tunahudhuria na rafiki zangu wakiislam na walikua wanaenjoy sana tu...sababu kuu ni kwamba yeye anafundisha bible inasemaje kuhusu mambo mbalimbali...pia anakipawa cha kuombea sna, rafiki yangu hamad alipona goti lake lililokua linamsumbua toka akiwa mdogo pale viwanja vya tangamano....mpaka leo hamadi huwa ni shuhuda mzuri sana kuhusu swala zima la uponyaji....
 
Ameeeeeeeeeni mpaka kuzimu wasikie kwamba ni Ameeeeeeni kubwa mbinguni na duniani, njoooni nyote mnaoteswa na imani za kurithi na kuabudu mizimu
 
Jamani tusidanganywe na watu hawa mnawaita wapakwa mafuta??Huyu ni mwanadamu tu wa kawaida uliza vituko vyake pale Peacock Hotel anakofikia!!!!Mwacheni Mungu aitwe MUNGU!!!Msiwaabudu hawa kina Mwakasege,Ngurumo ya Upako na wengineo!
may be huna unalolijua, but unajaribu kutafuta umaarufu katika JF nina imani hata mpakwa mafuta hujui nini? na ni nani
kwanza tambua kuwa hatujifunzi tabia zake bali ujunbe wa Mungu, Maana hata wazazi wako wangejua watakuzaa mtoto ka wewe, wangetamani sana wazae genge la nyanya liwasaidie maishani. Mambo ya anakofikia ya kwake yeye na maisha yake kwa kuwa mbinguni mtu hamwendei mwenzie, JIPANGE SAWA SAWA
 
Tupe updates za mkutano wa mtumishi wa Mungu Mwakasege basi. Achana na wazushi hao. Wanatembea na laana period.
 
Litukuzwe jina la bwana Mungu wetu, ingawa tutakuwa mbali na mahubiri hayo kimwili naimani kiroho tu pamoja, Kwa jina la Yesu ninafuraha kubwa maana neno la bwana linatangazwa pote duniani. Mbarikiwe.
 
semina ilishapita kuanzia tarehe 31 january mpaka 7 february somo kuu ni jinsi shetani anavyoshikilia wazaliwa wa kwanza ki-cheo na ki- haki na kuvuruga familia. mchawi alikabithi zana zake.
 
Back
Top Bottom