Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM na Waandishi wa Habari

Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM na Waandishi wa Habari

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo utaruka Mbashara kupitia Vituo vya TBC, Channel Ten, Televisheni za Mitandaoni na Mitandao ya Kijamii. Usikose.

ccmtanzania~p~CbNVErDKhd9~1.jpg
 
Unaweza kutusaidia mkutano/kikao kinahusu nini?
 
Atatangaza kwamba wamekubaliana na cdm kufufua mchakato wa katiba na tume Huru ya uchaguzi na mbowe naye leo atatangaza hivyo hivyo...

ikiwezekana mambo ya C.19...

Nchi itapumua na itatulia na kelele hizo.
 
Chadema itaendelea kuwatesa CCM muda mrefu ujao.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo utaruka Mbashara kupitia Vituo vya TBC, Channel Ten, Televisheni za Mitandaoni na Mitandao ya Kijamii. Usikose.

Mambo ya Mwaka mmoja wa MAMA
 
Dingi ako
Dogo jiheshimu unaitukana taasisi halafu tukae kimya tu

Unakuja mbio na Samsung yako ilopasuka kioo uliyouziwa laki na madalali bila kujua hicho kioo ni zaidi ya hiyo laki

Na kukomenti vitu vya kijinga
 
Dogo jiheshimu unaitukana taasisi halafu tukae kimya tu

Unakuja mbio na Samsung yako ilopasuka kioo uliyouziwa laki na madalali bila kujua hicho kioo ni zaidi ya hiyo laki

Na kukomenti vitu vya kijinga
Dogo maza ako, siyo kila aliyepo hapa ni dogo
 
Lengo ni kuvibana vyombo vya habari visifanye kazi ipasavyo kule kwa komandoo Mbowe, ila hii ya ccm haina mvuto kama ile ya CDM na huu ndio ukweli.
 
Sas anaongea nn huyu ambae nae kaibuliwa tu makonda kashamkata biti Kali leo kakamata nafsi isiyomtosha ndani ya ccm
 
Back
Top Bottom