BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
We ni mpuuzi zaidiHawana jipya hawa wapuuzi
Kila mtu na mipango yake na ajenda zake kizuri zaidi kila mtu na kiwanja ChakeHuu ni ushindani wa kijinga.
Anafahamu fika kuwa cdm wanamkutano muda kama huo
Dingi akoWe ni mpuuzi zaidi
Mambo ya Mwaka mmoja wa MAMAKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo utaruka Mbashara kupitia Vituo vya TBC, Channel Ten, Televisheni za Mitandaoni na Mitandao ya Kijamii. Usikose.
Dogo jiheshimu unaitukana taasisi halafu tukae kimya tuDingi ako
Dogo maza ako, siyo kila aliyepo hapa ni dogoDogo jiheshimu unaitukana taasisi halafu tukae kimya tu
Unakuja mbio na Samsung yako ilopasuka kioo uliyouziwa laki na madalali bila kujua hicho kioo ni zaidi ya hiyo laki
Na kukomenti vitu vya kijinga
Si kila chama kina watu wake walio loyal, au Chadema haina uhakika na wanachama wakeHuu ni ushindani wa kiphaller.
Anafahamu fika kuwa cdm wanamkutano muda kama huo