Hapo ndo CCM ilipocheza kama Pele. Kiongozi wa kwanza kukuhudumia ni mjumbe ambaye pia ni kada wa CCM mtiifu.Vyama vya upinzani kushindana na CCM bado sana.CCM ina muundo hadi ngazi za chini kabisa na wananchi wanautambua hadi uongozi wa shina.Ukisikia mjumbe kasema hiki au mtu anasema anaenda kwa mjumbe, kwa kujua au bila kujua, anakuwa anaenda kwa kiongozi wa CCM na siyo wa Serikali.
Bwana JUMA JUMA,vipi safari yetu ya Uingereza na Marekani uliyoipigia debe kwamba vijana wa Kawe tukimchagua GWAJIMA tutaenda??mwaka wa Tatu huu kimya, kulikoni??Mkiambiwa hakuna wa kushindana na CCM mnaanza kulia!
Huu ni Mkutano wa Kijiji cha Wende jimbo la Kalenga Iringa. CCM inakata Mbuga kwenye Vijiji na Vitongoji kwa siku zaidi ya Mikutano 10. CHADEMA wao wanafanya Mkutano wa mkoa mzima na helkopita juu lakini Mkutano wa Kijiji wa CCM ni balaa zito.
CCM wanakijenga chama chao kimkakati sana ila CHADEMA wao wanajiendea kama nyumbu wakienda kuzaa Kenya.
Safi sana Comred Chongolo, unaijua sana kazi yako.
View attachment 2639979View attachment 2639980View attachment 2639981
Hao wajumbe Wana impact Gani kwa maisha yetu wakati tunaendaga kuchukua tu barua Wala hawana faida yoyote kama unayotaka kuwapa credit CCM hapa.Vyama vya upinzani kushindana na CCM bado sana.CCM ina muundo hadi ngazi za chini kabisa na wananchi wanautambua hadi uongozi wa shina.Ukisikia mjumbe kasema hiki au mtu anasema anaenda kwa mjumbe, kwa kujua au bila kujua, anakuwa anaenda kwa kiongozi wa CCM na siyo wa Serikali.