Mkutano wa Klabu ya Simba SC na Wanahabari, jambo kubwa kutangazwa

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Leo mishale ya saa sita mchana, Klabu ya Simba Sports Club, itatangaza jambo kubwa kupitia waandishi wa habari.

Shughuli mzima na mkutano huo utafanyika Klabuni Makao Makuu Mtaa wa Msimbazi

========== ======= ======

Updates;

Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Simba Sports Club, yenye makao makuu yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es salaam, leo Septemba 4, 2017. Imetangaza Kamati maalum ya kusimamia mchakato wa zabuni ya kumpata mwekezaji katika mfumo mpya wa umiliki wa Simba Sports Club
c0b4b60fdc0ddcf51a58be8e5f9b6f71.jpg
 
Kaa nasi kukuletea yatakayojiri....

Imetolewa;

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba Sports Club.
sawa tunasubiri updates
 
Ish! Kwa hiyo hilo ndo jambo kubwa..mi nilifikiri tumerudishiwa point tatu zetu!..tungezichanganya na hizi tatu za sasa hivi tuwe na pointi 6 kwa mchezo mmoja tu

17 PHD these are results
 
Hawana lolote wa matopeni Mo anawalaghai tu kwakuwa ni mambumbumbu wanaingia kichwa kichwa
 
Unajua zile 7 za Ruvu Shooting ilikuwa zikufikie hapo dimbwini FC

Ila mganga wako wa Pemba kazipitisha zikaenda kwa Ruvu Shooting, kalale we!
 
Hongereni sana Mikia FC, hiyo ni hatua kubwa katika kulibadili soka letu maana siku zote tumeathiriwa na midomo ya tubabu tusiochangia hata 10. Ni matarajio yangu nyinyi mtakuwa chachu na akili mpya kwa Bingwa mara 27 naye kubadilika
 
Hawana lolote wa matopeni Mo anawalaghai tu kwakuwa ni mambumbumbu wanaingia kichwa kichwa
Lau kama Manji kutokukabiliwa na kesi si ilikuwa kichwa kichwa kumkodisha timu.. Hizo nazo akili?

Timu gani duniani inakodishwa? Huo ni Uroroso aisee!
 
Unajua zile 7 za Ruvu Shooting ilikuwa zikufikie hapo dimbwini FC

Ila mganga wako wa Pemba kazipitisha zikaenda kwa Ruvu Shooting
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
simba mtajitekenya wenyewe halafu mnacheka. kuna zaidi ya kumpa timu mo au mnataka nanyi muonekane wamo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jitambue. Fursa katika Uwekezaji, kuhusu suala zima la Hisa, haiwi kwa mtu mmoja!

Si tuonane tumo, Simba iko mbele zaidi kimtazamo kuliko Yanga, hata Simba Day mlibeza, je si mnaona faida yake.
 
Hongereni sana Mikia FC, hiyo ni hatua kubwa katika kulibadili soka letu maana siku zote tumeathiriwa na midomo ya tubabu tusiochangia hata 10. Ni matarajio yangu nyinyi mtakuwa chachu na akili mpya kwa Bingwa mara 27 naye kubadilika
Asante sana Gongowazi FC, Wazee waliopo timu mbili hizi wanakwamisha maendeleo ilhali duniani kote mpira kwa sasa ni biashara.

Yamkini uko njiani kuhusu mpango mzima wa Hisa.. karibu
 
Mizunguko yote ya nini?
Ni Kamati ya kumpa timu MO.
Ni sawa. Hiyo ni mikakati ya kuweka mambo sawia ili wasije kusema wengine hawana taarifa, mara hawakushirikishwa
 
Leo mishale ya saa sita mchana, Klabu ya Simba Sports Club, itatangaza jambo kubwa kupitia waandishi wa habari.

Shughuli mzima na mkutano huo utafanyika Klabuni Makao Makuu Mtaa wa Msimbazi

========== ======= ======

Updates;

Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Simba Sports Club, yenye makao makuu yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es salaam, leo Septemba 4, 2017. Imetangaza Kamati maalum ya kusimamia mchakato wa zabuni ya kumpata mwekezaji katika mfumo mpya wa umiliki wa Simba Sports Club
c0b4b60fdc0ddcf51a58be8e5f9b6f71.jpg
Ngoja tusikilizie asee!
 
Back
Top Bottom