sawa tunasubiri updatesLeo mishale ya saa sita mchana, Klabu ya Simba Sports Club, itatangaza jambo kubwa kupitia waandishi wa habari.
Shughuli mzima na mkutano huo utafanyika Klabuni Makao Makuu Mtaa wa Msimbazi
Kaa nasi kukuletea yatakayojiri....
Imetolewa;
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba Sports Club.
Unajua zile 7 za Ruvu Shooting ilikuwa zikufikie hapo dimbwini FCIsh! Kwa hiyo hilo ndo jambo kubwa..mi nilifikiri tumerudishiwa point tatu zetu!..tungezichanganya na hizi tatu za sasa hivi tuwe na pointi 6 kwa mchezo mmoja tu
17 PHD these are results
Lau kama Manji kutokukabiliwa na kesi si ilikuwa kichwa kichwa kumkodisha timu.. Hizo nazo akili?Hawana lolote wa matopeni Mo anawalaghai tu kwakuwa ni mambumbumbu wanaingia kichwa kichwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua zile 7 za Ruvu Shooting ilikuwa zikufikie hapo dimbwini FC
Ila mganga wako wa Pemba kazipitisha zikaenda kwa Ruvu Shooting
Jitambue. Fursa katika Uwekezaji, kuhusu suala zima la Hisa, haiwi kwa mtu mmoja!simba mtajitekenya wenyewe halafu mnacheka. kuna zaidi ya kumpa timu mo au mnataka nanyi muonekane wamo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Gongowazi FC, Wazee waliopo timu mbili hizi wanakwamisha maendeleo ilhali duniani kote mpira kwa sasa ni biashara.Hongereni sana Mikia FC, hiyo ni hatua kubwa katika kulibadili soka letu maana siku zote tumeathiriwa na midomo ya tubabu tusiochangia hata 10. Ni matarajio yangu nyinyi mtakuwa chachu na akili mpya kwa Bingwa mara 27 naye kubadilika
Ngoja tusikilizie asee!Leo mishale ya saa sita mchana, Klabu ya Simba Sports Club, itatangaza jambo kubwa kupitia waandishi wa habari.
Shughuli mzima na mkutano huo utafanyika Klabuni Makao Makuu Mtaa wa Msimbazi
========== ======= ======
Updates;
Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Simba Sports Club, yenye makao makuu yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es salaam, leo Septemba 4, 2017. Imetangaza Kamati maalum ya kusimamia mchakato wa zabuni ya kumpata mwekezaji katika mfumo mpya wa umiliki wa Simba Sports Club