Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Chadema ikishinda igunga nitaihama tanzania.

Huna ujanja wa kuhama tanzania wewe,mtu mwenyewe umezaliwa Kawe umekulia kawe ukisafiri sana ni Morogoro,sasa utaenda wapi?wewe ni wa humu humu tu.
 

Umeelezea vyema kwa hadhi ya great thinker, ila sahihisho langu ni hapo kwenye red. CDM ni chama cha ukombozi tofauti na CCM ambao ni mafisadi, wakandamizaji na wadudumizaji wa maendeleo ya JMT na watu wake.

Ki historia vyama vyote vya ukombozi ufadhiliwa na watu kwa hiari zao, wale ambao wanaguswa na maisha duni ya watanzania na manyanyaso ya CCM ndo wanaojitolea kwa hali na mali ili kufanikisha juhudi za ukombozi.

Wengi watakuwa bado wapo kwenye payroll ya CCM na serkali yake dhalimu lakini wanatumia nafasi zao kuleta mageuzi ya kweli. Kuwataja hadharani itakuwa ni kusaliti heshima na maisha yao.
 
Chadema wakishinda igunga nakunywa tindikali
Wewe mtoto wa punyeto wacha kujiletea uchuro, utakufa na wakati hujaifaidi vizuri punyeto yako, kwani miaka minne uliyopiga punyeto bado haitoshi.
 

Nimefarijika kusoma maandishi haya, natamani ungeyabandika ubaoni pale Igunga ili kila mtu apite na asome, hakika ukombozi wa kweli u karibu
 
Updates- Campaign zimefungwa rasmi, na haijawahi kutokea mkutano kuwa na watu wengi kama walioshuhudiwa leo kwenye mkutano wa lala salama wa CDM tangu campaign zianze huko Igunga.

Viongozi wa CDM wamesema watahakikisha wanalinda kura zisiibiwe, na wakifanya wizi wa aina yoyote ukagundulika hawatakaa kimya.

Pia vijana wa CDM wamejaa barabarani kwa miguu, baiskeli, bajaji na magari, mji ni kama umesimama watu wote wapo barabarani na bendera zao, polisi wamejaa na wanzunguka uku wameshika mitutu, wanataka watu wasambae. Tuombe amani iwepo. Nauona ukombozi unakaribia uko Igunga!

Regina Mwaleko wa clouds FM alikuwa akiripoti live kutoka Igunga na amesema kwamba mkutano wa CDM umejaa watu wengi sana na kupelekea CCM na CUF kukosa watu kwenye mikutano yao. Hivi sasa makamanda wanajitambulisha na kuhimiza wananchi wa Igunga kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura. Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki Tanzania
 
yaaani ccm lazima wakae chini kesho
 
Tuombe tu Mungu mambo yaende kama ambavyo wengi tunapenda yawe. Lakini huwa siku zote tuna watu wengi kwenye mikutano, lakini kwenye kura hatuwaoni au hawawachagui wawakilishi wetu. Sijui huko Igunga itakuwaje.
 
Kuna mtu kaleta porojo hap JF kwamba wananchi wamekimbia mkutano wa chadema na kukimbilia mkutano wa cuf sasa hapa regina mwolekwa anasema mkutano wa chadema umefurika huku cuf na mshirika wake ccm wakikosa watu.

Cuf na ccm wameshashindwa uchaguzi wasubiri kuzikwa rasmi kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…