Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Good lucky kesho Chadema .Nimeona news nimeona picha hapa na picha za TV for sure Igunga kama kweli wana sifa za kupiga kure wote basi CCM chali .I am impressed
 
Taarifa ya habari ya TBC ya leo at 8pm ni ushuhuda tosha kuwa CCM wataangukia pua labda waibe
Am sure RA atakuwa ameamua kuwaadhibu tuu
 
mi ndo nimaliza kuangalia tarifa ya 20:00 mi c mnafiki bali i will speek da truth CDM are da winner tena watapata ushindi wa kishindo almost 64% na ccm watapata 24% na cuf watapata 8% the rest watagawana zilizobaki
 
Chadema mtangulize mungu ktk hili kwani naamini ccm si zaidi ya Mungu.
 
Thank you ever so much for the pictures,japo nimeangalia kidogo kwenye taarifa ya habari ya ITV,for sure kama hali ikienda vizuri, Igunga itaingia katika historia mpya.

Tuzidi kumuomba Mungu,maana hawa mafisadi najua hata leo hawatalala wakitafuta jinsi ya kuchakachua,na habari ambazo hazijathibitishwa, kwenda kwa waziri wa mambo ya ndani-Nahodha ni kuwasimamia polisi watekeleze mambo yatakayowapa favour CCM, kwani imesemekana msimamizi wa uchaguzi akipata kigugumizi cha kutangaza atalindwa na jeshi la polisi hivyo anaweza akatangaza kinyume chake, kama ilivyotokea jimbo la Shinyanga mjini uchaguzi uliiopita na kama Wilson Kabwe mkurugenzi wa jiji la Chadema-Mwanza alivyoshindwa kutangaza matokeo baada ya Masha na Dialo kupigwa chini, kulitokea mtafuruku kati ya RPC na Kabwe, kabwe alitaka kufuata maagizo toka Dar kwa mkuu wa kaya,lakini polisi walimwambia ukitangaza tofauti na matokeo maafa makubwa yatatokea.

Hivyo Nahodha kaenda kusimamia zoezi la kuchakachua wala si usalama.
Ila yote heri tunashindana na tutashinda.
 

Mkuu lwa uchambuzi huo wa kisayansi nakupa big up, CDM wataibuka washindi hata iwe namna gani,

Umemaliza soo mkuu, ccm kwisha habari
 
Picha za mkutano wa chadema leo uliofunika mikutano yote ya igunga iliyofanyika leo

Mkuu J Madiba, Kama upo Igunga ebu nipe tathimini juu ya wapiga kura wanawake maana picha zote ambazo uangalia siku zote sioni hawa Binadamu, au Igunga hakuna wanawake?
 
Mkuu umenichekesha sana.
Watakuwepo, lakini si unajua mama zetu sio watu wa shangwe kivile? Na mkutano ukiisha tu wao haoo home kutayarisha mlo, kuwacheki vichanga n.k.

Mkuu J Madiba, Kama upo Igunga ebu nipe tathimini juu ya wapiga kura wanawake maana picha zote ambazo uangalia siku zote sioni hawa Binadamu, au Igunga hakuna wanawake?!
 
mwisho wa maonesho ya helikopta sasa tuone kiwango cha ujumbe kilichoingia kwa wanaigunga.
Ujumbe wa leo: Ukipanda bangi usitegemee kuvuna nyanya..
 
Mungu tuna hakika atasikia kilio chetu sisi wapenda maendeleo,Mungu Ibariki Cdm ili waTz waendelee kuelewa umuhimu wa vyama vya upinzani
 
Hiyo aina chadema wasubiri kutangazwa washindi tuu kuna kila dalili kwamba ushindi uko wazi sera zao zinauzika
 
Mbona zambia wameweza wa na nn na ss tushindwe tu na nn,tz bila ccm inawezekana,tuende tukapige kula wote kesho kwa fujo, chadema ndiyo mkombozi wetu
 
Kabeni ulinzi CCM hawafai kwa wizi hao.
 
mkuu naona ilo swali lako c mahali pake kaulizie kulekule ntakujibu,ila ukweli ni kuwa kafumu anaenda bungeni kesho tena kwa kishindo cdm subiri nafasi ya tatu igunga sio kilimanjaro!

Acha dharau kwa wana Igunga, yaani wao giza la nchi nzima hawalioni mpaka wamchague mgombea wa CCM, yaani wao umaskini uliosambaa kila kona wao hawauoni mpaka wampe kura Kafumu.

Yaani umewadharau kwamba wao hawajui CCM ni chama cha mafisadi na wezi wa mali za umma mpaka wawapigie kura. Watu wa Igunga si mambumbumbu kama unavyowadhania hata wasijue wezi ni kina nani na watu makini ni akina nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…