Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
waigizaji bongo wengi, ila album ndo hawatoiNgoja tuone mwisho wake.
Guys, Taarifa zilizopatikana hivi punde ni kwamba, ule mkutano wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi na waandishi wa habari umeahirishwa.
Mkutano huo ulikuwa ufanyike saa 6 (dakika mbili kutoka sasa) pale City Sports Lounge jijini Dar.
Sababu za kuahirishwa ni kwamba mmiliki wa kampuni hiyo ameitwa Dodoma kwenda kuhojiwa.
Keep informed.
Labda amesha kamatwaSi magazeti yaliandika ametoroka nchi? Duh Tanzania nchi yangu mbona unaangamia kwa watu wako kukosa maarifa?
Mkuu mbona unauliza nyavu baharini?Sports Lounge posta karibu na Askari mzee?!! Mgahawa wakina Djuma Punto na Rizimoko moko wa kashfa??!!
Kijiwe cha kinq Lemutuz,kweli ndege wafananao hiruka pamoja,kashindwa hata kuvuka barabara tu hapo akaingia HABARI MAELEZO ama ndio jeuri ya pesa na kujaribu kuonyesha kuwa yupo na wala nchi??!!