Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Japokuwa kujua kiingereza sio uthibitisho wa usomi, lakini ni aibu pale ambapo katika mkutano wa Maraisi kama uliofanyika pale Ngurudoto Arusha hakuna hata kiongozi wa serikali alieona kosa lililofanyika katika kuandika neno "extraordinary" na badala yake likaandikwa kama maneno mawili "Extra Ordinary".
Ndio maana Wakenya huwa wanatucheka na kiingereza chetu na tunawaogopa katika ushindani wa ajira. Huu ni uzembe mkubwa na ukihiyo wa waandamizi wa serikali.
View attachment Doc1.doc.docx
Ndio maana Wakenya huwa wanatucheka na kiingereza chetu na tunawaogopa katika ushindani wa ajira. Huu ni uzembe mkubwa na ukihiyo wa waandamizi wa serikali.
View attachment Doc1.doc.docx