Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Acha kuwa mtumwa wa lugha za watu hata tukikosea sawa mbona Rais wa China alizungmza kichina unaweza kujua alikosea wapi?
Japokuwa kujua kiingereza sio uthibitisho wa usomi, lakini ni aibu pale ambapo katika mkutano wa Maraisi kama uliofanyika pale Ngurudoto Arusha hakuna hata kiongozi wa serikali alieona kosa lililofanyika katika kuandika neno "extraordinary" na badala yake likaandikwa kama maneno mawili "Extra Ordinary".
Ndio maana Wakenya huwa wanatucheka na kiingereza chetu na tunawaogopa katika ushindani wa ajira. Huu ni uzembe mkubwa na ukihiyo wa waandamizi wa serikali.
View attachment 91888
Mkuu, unajaribu kuzungumza na watu ambao wameshaamua kuwa makosa katika uandishi ni sehemu ya uandishi! Naona kuna mmoja amejaribu kusingizia eti ni ''kosa la uchapaji'' asijue kuwa hata hilo kosa la uchapaji hufanywa na mwanadamu na linaweza kurekebishwa hasa kwenye maudhui muhimu kama hayo. Tuko kwenye kizazi ambacho watu hawaoni kabisa kabisa umuhimu wa kuandika maneno kwa usahihi! Jaribu kusoma michango ya hapa JF utabaki unashangaa. Na simaanishi yale makosa ya bahati mbaya ambayo yanasameheka, nazungumzia makosa ya watu kutojua maneno yanavyoandikwa tena maneno rahisi kabisa ambayo ni sehemu ya maisha ya mtu anayetumia kiswahili. eg. askali (askari), marazi (maradhi), mahongezi (maongezi) etc. Nadhani ni matokeo ya watu kwenda shule ili washinde mitihani badala ya kwenda shule ili waelimike!
Makosa ya kawaida sema waandushi makini wakati mwingine