Mkutano wa matajiri wa dunia

Castle

Senior Member
Joined
Jul 25, 2008
Posts
116
Reaction score
20
kulikuwa na mkutano wa matajiri wote kutoka nchi zote duniani, Tanzania iliwakilishwa na S.S.Bakhressa. mlangoni unatakiwa useme unatokea nchi gani na unafanya biashara gani.
ilipofika zamu ya bakhresa mambo yakawa kama hivi,
mlinzi:unatoka nchi gani?
bakhresa:Tanzania
mlinzi:unafanya biashara gani?
bakhresa:nauza koni na ice cream.
mlinzi:zile ramba ramba za watoto!
bakhresa:ndio
mlinzi: hapana huwezi kuruhusiwa, kwa kuwa biashara yako ni ndogo sana, mimi mlinzi unavyoniona namiliki kampuni ya kutengeneza helicopter, na humo ndani kuna wamiliki wa mercedes benz, jumbo jet,bmw,toyota,range na wengine.
kwaheri.
Jamaa ikabidi arudi Bongo kimya kimya.
 
Hiyo hatari sana.
Boss wetu wa Bongo.
 
Haha
 
Mi mwenyewe nashanga Tanzania tajiri anauza vitu vidogodogo hii inaonesha sisi ni nchi maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…