Uchaguzi 2020 Mkutano wa mgombea ubunge wa CHADEMA kata ya Selela Jimbo la Monduli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Waswahili walisema tangu zamani kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha , hicho ndicho kinachotokea sasa huko Monduli .

Wamasai wameamka na wamegoma kuabudu binadamu na sasa wameamua kufanya uamuzi kwa kutumia fikra huru .

Hizi ni picha za Mkutano wa mgombea ubunge wa Chadema kata ya Selela Jimbo la Monduli

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…