Mkutano wa nishati uliowashirikisha wakuu wa nchi za Afrika unamalizika leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huu muhimu kabisa kwa Tanzania na bara zima la Afrika wenye malengo ya kuwezesha waafrika kupata nishati safi pamoja na mafanikio yake, mkutano huu ulivuruga utaratibu wa kila siku wa usafiri, biashara na kazi kwa maelfu ya wakazi wa Dar.
Kuondokana na kadhia hii, ingefaa sana mkutano huu na mikutano mingine kama hii ifanyike jijini Arusha ambapo mikutano mingi mikubwa ya kimataifa hufanyika mara kwa mara bila kuvunja utaratibu wa kawaida wa wakazi wa jjij la Arusha.
Kuhusu mkutano soma LIVE - Mkutano wa Nishati Afrika (Africa Energy Summit) 27-28 Januari, 2025