Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Rais Kikwete alikuwa Kenya week chache zilizopita, tena state visit. Ni kitu gani hasa kinawindwa hapa? Kwenye protokali, sidhani kama ni sahihi kwa rais kukutana na upande mmoja wa wagombea angali ndio kwanza Kenya iko kwenye campaign.
Kwa maoni yangu, raisi wangu Kikwete haaminiki na pia ni kigeugeu katika medani za siasa, akisikia makelele tu kutoka upande wa pili usishangae kumuona mr. Agwash nae akipiga nae picha mtaa wa magogoni, tuvute subira kidogo.
Btw, wakenya wameipokeaje hii visit ya Uhuru Kenyata kwa raisi Kikwete Ab-Titchaz
This is one of the very big mistake ambayo Serikali ya JK imefanya, anaandaa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia kukutana na Kenyataa, JK anashauriwa na nani? juzi mkapa na koffi anan walikuwa kenya na kibaki amegoma kukutana nao kwa makusudi sababu kibaki kwa namna fulani hataki kenyata apelekwe ICC , na Koffi anan amesema wazi ni lazima kenyata na ruto wasisishiliki uchaguzi sababu wataifanya Kenya itengwe na jumuia ya Kimataifa.
Matamshi ya JK ni matusi makubwa kwa Koffi Annan na Mzee Mkapa, si ajabu kikwete ameanza kuhisi kuwa naye atapelekwa ICC baada ya utawala wake. This is a diplomatic falier ya Taifa letu. ovyo kabisa.
Asavali ya Mitanzania kuliko Minyang'au inayotembea na .... kwenye suruari(hutumia toilet paper kwa saana)Mitanzania ni mijitu ya ajabu sana. Hivi ni nani kati yenu mliochangia anajua hasa maana ya diplomacy especially strategic diplomacy? Acheni kubwata na kutokwa mapovu dhidi ya kila kitu akifanyacho J.K. So far rais knows the implications of that. You better keep quite at a time you have no enough reference to back your arguments up rather than just snaping and poluting the forum you private piles and scambags of this country, shit!
It is not that complex a.k.a murky Kenyan politics , tribalism and 'majimbo' are the only factors in Kenya's politics
Ms Bensouda is not going to be intimidated by spin about Kenyan politics. That is for the government and the
people of Kenya to deal with.
What Bensouda is interested in is the 4 suspects who have a case to answer and have been indicted at
The Hague of which Kenya is a signatory the last time I checked.
Mkuu First,
We start with the basics. Everyone knows well MS bensouda's promotion to ICC chief prosecutor was politically motivated and therefore nobody wants to interfere with MS bensouda's tourist visit to Kenya, I have checked the history of MS bensouda and the notable accolades are and ICJ award and a mere mention in a regular magazine as one of the top 100 influencial people. Thats all. I know next she will be lined up to recieve a nobel peace price.
But besides these factors you can check in print news or everywhere, that there is no one who has interfered with the due process of ICC even those indicted have cooperated with the court. The issue is the underhand tactics that they want to sarbotage the elections and distort the constitutional rights of the kenyan pple to elect whom they want. It is no wonder that her subsequent visit after Mediator Kofi annan signals they are messengers from the same source.
I believe they should be patient and wait until march 2013 for the indicted four to arrive in holland.
You are a true master of spin.
...The basics have nothing to do with Bensouda...the basics are Kenya's Parliament pushed for the Hague
with kina Ruto's cheer leaders being on the fore front of that choir. Hio mnajifanya mumesahau sio?
...then you say "Everyone knows well MS Bensouda's promotion to ICC chief prosecutor was politically motivated "
A very reckless self serving statement that I have heard from other Uhuruto sympathizers. Don't apply Kenya
theatrics on another theater...it doesn't work.
...The train has left the station and 4 men cannot hold a country hostage because of their political ambitions or
simply because they are the sons of so and so!
Fair enough, then It will take a long time for the nation to bow to such ICC pressure, but let me reassure you, Kenyans will never be snatched their constitutional mandate by outsiders. Outsiders do not know Kenya neither have they the interests of kenyans at heart; and so are those politicians depending on such Jurisdictions outside our boundaries to ascend to power! Last time I checked it is only a handful of midde-class that may have your sentiments; remember kenyan voters at the grass-root may not share your views.
Kabaridi, Jasusi, Ab-Titchaz, Kiranga, Pasco,
..mimi nadhani Uhuru anapoteza muda wake tu.
..no one should take Kikwete's words/promises seriously.
..baada ya scandal ya Richmond, and how he left his friend[Edward Lowassa] "holding the bag," hivi kuna mtu bado anataka kufanya deal yoyote ile na Kikwete??
Uhuru Kenyatta and his fellow warlord, William Ruto's days are numbered. It is a shame that he holds enough sway and leaves a whole president-Kikwete-cheer leading him on. Embarrassing how easy it is to buy out a country and the leaders to boot.
The message from the ICC is clear; Uhuru Kenyatta will be tried and convicted for killing thousands and displacing hundreds of thousand.
Kabaridi, Jasusi, Ab-Titchaz, Kiranga, Pasco,
..mimi nadhani Uhuru anapoteza muda wake tu.
..no one should take Kikwete's words/promises seriously.
..baada ya scandal ya Richmond, and how he left his friend[Edward Lowassa] "holding the bag," hivi kuna mtu bado anataka kufanya deal yoyote ile na Kikwete??
Standard Digital News : Uhuru meets South Sudan VP
...Kikwete naye I believe is playing for the gallery while at the same time looking at which side of the bread
is buttered. The fact that he himself is embroiled in suspicious corruption dealings via he is government,
it doesn't surprise me that he is cohabiting with Kenya's guru in corruption underhand dealings.
Will Kibaki agree to hand over the son of Jomo to the ICC when the rubber hits the road? That's the tricky part.
...The man is already acting as the President of KE with Kibaki being the lame duck that he is.
Kabaridi,
..sijui details za matatizo ya Kenyatta na ICC.
..ila ninachoweza kusema ni kwamba Kikwete ni mtu ambayo siyo reliable.
..JK amewageuka hata watu wake wa karibu, ppl who helped him get into the highest office in Tz.
..sasa usije ukashangaa akamgeuka na Uhuru Kenyatta--if there is anything they agreed on.