kiamangwana
Senior Member
- Feb 28, 2015
- 175
- 89
Najaribu kuulizia tu,inasemekana simba ina wanachama takribani 5000 sasa katika mkutano wa leo waliohudhuria ni 1200,je mpaka hapo akidi ilitimia?kama haijatimia maamuzi ya leo ni halali?
Sent using Jamii naona unauliza kinafki nafki.ila ngoja nkupe majibu,,katiba ya simba inasema moja ya tatu ya wanachama hai wa club wanaweza wakafanya decision kwenye mkutano.kwaio kwenye iyo takwimu ya wanachama uloileta ebu toa wanachama wafu yaani wasolipia ada zao.wanaobaki tafuta moja tatu yao utapata majibu.
Mleta uzi utangolewa menooo!!!Najaribu kuulizia tu,inasemekana simba ina wanachama takribani 5000 sasa katika mkutano wa leo waliohudhuria ni 1200,je mpaka hapo akidi ilitimia?kama haijatimia maamuzi ya leo ni halali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kuulizia tu,inasemekana simba ina wanachama takribani 5000 sasa katika mkutano wa leo waliohudhuria ni 1200,je mpaka hapo akidi ilitimia?kama haijatimia maamuzi ya leo ni halali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekaa kimya kwenye hili sakata la Mzee Kilomoni na Uongozi uliopo madarakani kuhusu mabadiliko ya katiba ya Simba.Una akili kichwani?? Sasa 1200 ni 1/3 ya 5000??? kama 1/3 ni 1200 basi namba kamili itakuwa 3600.. ss je akidi imetimia kwa idadi hiyo ya 1200 kwa wanachama 5000??
Sent using Jamii Forums mobile app