Elections 2010 Mkutano wa Slaa Mbeya!

Njimba Nsalilwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2008
Posts
252
Reaction score
3
Nimeongea na ndugu toka Mbeya anasema watu waliojitokeza kumpokea ni wengi sana!
Kibaya zaidi hana Camera jamani mlio jirani hebu tuwekeeni angalau picha tu!

NN
 
Kwani mkutano unafanyika asubuhi au jioni?nina imani atafunika kwa kuwa ni mtu wa watu!!
 
Ahsante mkuu, jaribu kufanya mawasiliano tena tupate kitu roho inapenda mkuu!! We were born for changes, and its time for it!! Viva Dr Slaa (PhD)
 
Kwani mkutano unafanyika asubuhi au jioni?nina imani atafunika kwa kuwa ni mtu wa watu!!

Unaambiwa watu wamekesha uwanjani toka jana, utafikiri ni sikukuu ya mwaka mpya, sasa hivi ndio anaelekea uwanjani!
NN
 
Njimba usiache kutuhabarisha kinachojiri huko mkuu! tunahamu ya kusikia kutoka kwa Dr.Slaa. Mungu awe upande wetu wananchi wa Tanzania na mungu awe upande wa Dr.Slaa.

Maana JK mwenyewe kakiri kwamba kuchakachua kunawezekana kama wakala akipewa hela ya soda au wajumlishaji wakiamua kuchakachua! nafikiri unapata picha ya kile ambacho kimeandaliwa tayari!
 
Nimesikia kuwa ataonekana live ITV kuanzia saa 9 mchana.
 
Sisi tuko Zambia tunasubiria train ili tuje kumuona na kupiga kura. Tumeacha biashara ili tuakikishe Dr. Wakweli anashida. Mbarikiwe
 
Du watu wanataka mabadiliko kweli.............haya dr.slaa ikulu hiyo tunakupa ukasafishe uchafu wa kikwete na ccm ukamuenzi nyerere kwa matendo pale nyumba nyeupe..................tunakupa nafasi ukabadili katiba na kuilinda pindi ikipitishwa na sio km kikwete ambaye hawezi kulinda katiba kwa kuifanya serikali ina dini ya kiislamu wakati ni ya watz wote...............tunakupa nchi rasmi utuongoze watz wetu kwa umoja huu tuliyonao........
 
Sisi tuko Zambia tunasubiria train ili tuje kumuona na kupiga kura. Tumeacha biashara ili tuakikishe Dr. Wakweli anashida. Mbarikiwe

Mkuu nimekugongea shavu hapo juu. Niko ulaya ujanja sina wakuja.
 
Iyo ya ITV ni serious?
Jamaa yangu katoka nipigia anasema barabara hazipitiki jiji la Mbeya watu toka pande zote za mbeya.
Nina wasi wasi uwanja pale maeneo ya CCM pale Mbeya sidhani kama utatosha
 
Nasikia watu wametoka chunya ,tukuyu,mbarali,kyela Tunduma wanataka kumpa mkono wa heri raisi wao ni watu ni balaa,balaa kabisa
 
Sisi tuko Zambia tunasubiria train ili tuje kumuona na kupiga kura. Tumeacha biashara ili tuakikishe Dr. Wakweli anashida. Mbarikiwe
Karibu Mbeya mkuu tuikomboe nchi yetu!
 
somebody pls tell us if kweli mku5 unaoneshwa live ITV, I cant wait to hear mr. president addressing people there. pls hebu mtu atuambie.
 
ITV hawaonyeshi tena kuna thread uchaguzi 2010 kuwa KINANA tayari kaingia ITV na kuwaambia wajiunge TBC-Tido kuwaonyesha ma-celebrity wa CCM.Ukombozi unakuja chagua Chadema.
 
Ndugu zangu ninaomba picha tafadhalilini sana ndugu zangu.....mbeya msiniangushe jamani.
 
ITV hawaonyeshi tena kuna thread uchaguzi 2010 kuwa KINANA tayari kaingia ITV na kuwaambia wajiunge TBC-Tido kuwaonyesha ma-celebrity wa CCM.Ukombozi unakuja chagua Chadema.

Tazama ITV kuanzia saa tisa na nusu mpaka saa kumi na nusu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…