Mbeya Hiajawahi Kutokea! Kitu ninchoweza kwa Hakika ni kwamba Sugu Mbunge wa Mbeya Mjini, Nilikuwepo Kwenye Mkutano nimeona kwa macho yangu Umati wa watu Uliokusanyika Ukakubali Kuungua kwa Jua kuanzai Saa Nne Asubuhi mpaka Saa Kumi! kilichotokea Mbeya Leo kitakuwa Kwenye Kumbukumbu za CCM mpaka pale itakapoelekea Kaburini
Bahati mbaya sikuwa na Picha, Ila naweza kusema bila wasiwasi kwamba Makumi Elfu ya Watu walihudhuria na walikuwa wanahamasika muda wote wa kampeni
Polisi wamepiga Raia wema waliokuwa kwenye Vituo wakisubiri Dala dala kuelekea Makwao
Shame on you Nyombi Dhambi uliyoifanya leo Itaigharimu CCM kwenye Sanduku la Kura Kesho
Jamani huwezi kuamini, data nilizopata zinatisha, CCM mbeya imemuunga mkono Dr. Slaa, na hivi sasa CCM mkoa wa Mbeya wako mkutanoni kwa Dr. Slaa na viwanja vyenyewe ni mahala panaitwa CCM Ilomba. Barabara ya kutoka Dar kwenda Mbeya imefungwa eneo hilo kutokana na umati wa watu kwa zaidi ya masaa mawili.
Sasa hivi abiria wanaotoka Iringa na Dar kwa furaha kabisa wameamua washuke ili wakamsikilize mwanamapinduzi wa kweli Dr. Slaa
wewe jamaa hii post yako imenitoa machozi Mung yupo jamani .wanyonge haki yetu ipo mikononi mwetuMbeya Hiajawahi Kutokea! Kitu ninchoweza kwa Hakika ni kwamba Sugu Mbunge wa Mbeya Mjini, Nilikuwepo Kwenye Mkutano nimeona kwa macho yangu Umati wa watu Uliokusanyika Ukakubali Kuungua kwa Jua kuanzai Saa Nne Asubuhi mpaka Saa Kumi! kilichotokea Mbeya Leo kitakuwa Kwenye Kumbukumbu za CCM mpaka pale itakapoelekea Kaburini
Bahati mbaya sikuwa na Picha, Ila naweza kusema bila wasiwasi kwamba Makumi Elfu ya Watu walihudhuria na walikuwa wanahamasika muda wote wa kampeni
Polisi wamepiga Raia wema waliokuwa kwenye Vituo wakisubiri Dala dala kuelekea Makwao
Shame on you Nyombi Dhambi uliyoifanya leo Itaigharimu CCM kwenye Sanduku la Kura Kesho
MY TAKE
Unabii wa Slaa naona ndo unakamilika bse aliwahi sema CCM ndo wataleta fujo b'se wao ndo wenye dola na kutoa amri
Asante kutuhabarisha. Lakini kulitokea nini mpaka polisi wakaamua kupiga hayo mabomu?
Kilichotokea leo jijini Mbeya ni aibu kwa Jeshi la Polisi, CCM na serikali yake. Wamewapiga mabomu watoto waliokuwa wakicheza muziki uliokuwa ukipigwa na gari la CHADEMA, wamepiga mabomu wananchi waliokuwa wakisubiri usafiri kwenye vituo hapo ulipofanyika mkutano baada ya mkutanoni, wapiga mabomu kwenye nyumba za watu, ilikuwa ni fujo.
Hasira za wananchi hao zitaishia kwenye kisanduku cha kura kesho na wameapa kuchagua madiwani, mbunge na Rais toka CHADEMA