Elections 2010 Mkutano wa Slaa mkoani Lindi

Elections 2010 Mkutano wa Slaa mkoani Lindi

Bollo Yang

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
440
Reaction score
51
Jamani mliopo mkoa wa Lindi hebu tupeni ukweli ya kwamba mkutano wa Dr. Slaa leo mkoani Lindi watu walikua wachache kupita maelezo, au ndio maana alikua anaogopa kwenda kule???
 
mwenye updates atupe,ila hope ppo zilikua nyomi kama kawa maana slaa anakubalika
 
Back
Top Bottom