Bollo Yang JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 440 Reaction score 51 Oct 27, 2010 #1 Jamani mliopo mkoa wa Lindi hebu tupeni ukweli ya kwamba mkutano wa Dr. Slaa leo mkoani Lindi watu walikua wachache kupita maelezo, au ndio maana alikua anaogopa kwenda kule???
Jamani mliopo mkoa wa Lindi hebu tupeni ukweli ya kwamba mkutano wa Dr. Slaa leo mkoani Lindi watu walikua wachache kupita maelezo, au ndio maana alikua anaogopa kwenda kule???
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Oct 27, 2010 #2 mwenye updates atupe,ila hope ppo zilikua nyomi kama kawa maana slaa anakubalika