maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Hilo jeshi haliboresheki. Ni la kuburuzwa tu, na viongozi wake ni wa kujipendekeza ili wapate vyeo vya kupatia rushwa. Wanasiasa wa CCM wameshawajulia wanawatumia jinsi wapendavyo.Za asubuhi wanaJF,
Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia.
Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo nashauri tuweke tathmini yetu kuhusiana na utendaji wao kutoka kama service users.
Hii itasaidia kuboresha shughuli za. o huku wakihakikisha matarajio yetu yanafikiwa.
Nawasilisha
Wanafiki na wauaji wanajitathminiZa asubuhi wanaJF,
Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia.
Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo nashauri tuweke tathmini yetu kuhusiana na utendaji wao kutoka kama service users.
Hii itasaidia kuboresha shughuli zao huku wakihakikisha matarajio yetu yanafikiwa.
Nawasilisha