Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa

PhD holders hata usafi wa vyoo umewashinda. Wanataka Uhuru upi huo. Ikiwa sehemu ya kunisaidia tu chafu? Watu kunyya mpaka aangukie gazeti ili asirukiwe na nnya?