Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii jf yetu ya kisasa hii!, bandiko la hoja muhimu kama hii ya toka April 30 ni kuchangiwa na mtu mmoja mimi hii leo!.Mkutano wa Wadau wa Habari kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Kunakuwepo Uchaguzi Unaoaminika.
"Nalipongeza Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa jitihada zake katika tasnia ya habari"
"Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa na muhimu katika jamii yetu" Mobhare Matinyi - Msemaji Mkuu wa Serikali
Mobhare Matinyi - Msemaji Mkuu wa Serikali.
📅 Aprili 30, 2024.
📍 Dodoma.