johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nikupongeze tu Bwashee Erythrocyte kwa namna unavyoturipotia yanayoendelea hapo Mbeya
BAVICHA wote wanawatenga Dr. Slaa na Mwabukusi kwa sababu walihama CHADEMA baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 lakini wewe unawaripoti wote katika Utatu.
Tunatofautiana sana katika mengi kwenye siasa ila kwenye hili Mungu wa mbinguni akubariki na akutie nguvu usimame katika uweli na nguvu ya yule mganga wa Upareni naniliu Jr zisikukengeushe na zishindwe kabisa.
Nawatakia Alhamis njema 😀.