becknature
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 665
- 825
Mkuu ndani ya jamiiforums wote ni wakuu, nadhani umenielewa Mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kila ninapo peruzi post za watu mbali mbali, mara kwa mara watu wanaitana mkuu, so i got a question, how many wakuu do we have here?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu JF ni sawa na AFANDE jeshiniKila ninapo peruzi post za watu mbali mbali, mara kwa mara watu wanaitana mkuu, so i got a question, how many wakuu do we have here?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo inatutofautisha na mitandao mingine, wacha hili neno litawale hapa na si pengineKila ninapo peruzi post za watu mbali mbali, mara kwa mara watu wanaitana mkuu, so i got a question, how many wakuu do we have here?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni kwa sababu JF mna watu wa rika na nyadhifa mbalimbali na hatujuani. Tunatoa heshma pasipo kufahamiana. Kiukweli kuna watu humu si wa kutaniwa kabisa kwa umri na nyadhifa zao. Ila kwa kuwa ni jukwaa wamejishusha huwezi amini.Kila ninapo peruzi post za watu mbali mbali, mara kwa mara watu wanaitana mkuu, so i got a question, how many wakuu do we have here?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni kwa sababu JF mna watu wa rika na nyadhifa mbalimbali na hatujuani. Tunatoa heshma pasipo kufahamiana. Kiukweli kuna watu humu si wa kutaniwa kabisa kwa umri na nyadhifa zao. Ila kwa kuwa ni jukwaa wamejishusha huwezi amini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaa wee jamaa bhanaMkuu ni mmoja tu anaitwa Maxcence Mello.
Wengine sisi ni Wakuu wasaidizi.
Ila kwa kuwa muda mwingi hayuko hewani, na sisi tuna assume ukuu japo kwa kuibia ibia.
Kila ninapo peruzi post za watu mbali mbali, mara kwa mara watu wanaitana mkuu, so i got a question, how many wakuu do we have here?
Sent using Jamii Forums mobile app