"MKUU" hivi kuna wakuu wangap jamii forum?

Hata mimi nilikuwa nashangaa wakati na join jf, usiwe na wasi humu wote ni kama familia jisikie huru mkuu nduguyetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ukisha fanikiwa kujiunga na Jamiiforums automatically unakuwa mkuu.
 
mkuu humu ndani wakuu ni kama wote mkuu ko #hakuna namna mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…