johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
No reforms No Election !!!Uchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhana π
Mwanadiwani na/au tandaleone yupo Mtama anasubiri kiinua mgongo.Uchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhana
Hao wako kimaslahi zaidi πVipi kuhusu Chiembe na Sunken Cost fallacy huwaoni ?
Pascal siyo UVCCM πTimechoshwa na nyuzi za kijinga za Mwashambwa bora ungesema Pascali Mayalla ndiye huwa analichangamsha jamvi na hoja zake.
Lucas anasumbuliwa na bawasiriNasikia anaunwa nusu Kufa huyu jamaa.
Umemjibu vizuri sana. Usipoonja Juice yako ya Iringa unakuwa vizuri sana kichwani Mzee.Pascal siyo UVCCM π
Mungu akusamehe sanaLucas anasumbuliwa na bawasiri
Utaumwa wewe. Endelea kujichulia hivyo hivyo .Nasikia anaunwa nusu Kufa huyu jamaa.
Umeshapona dogo? Wacha kula kula vitu vilivyochacha umeharisha hadi nyama ya puru imetoka nje kudadadadeq.Mungu akusamehe sana
Tlaatlaah jingalao Ccm chama changuUchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhana π
Pascali ndiye mwanaccm mwenye akili Mwashambwa ni CCM ubwabwa mpaka anakera.Pascal siyo UVCCM π
Kuna Muda wa kutumikia Siasa na ikifika magharibi unamtumikia Mungu wa MbinguniPascali ndiye mwanaccm mwenye akili Mwashambwa ni CCM ubwabwa mpaka anakera.
Wewe unamkejeli akianza kuandika yale magazeti yake yasiyo na maudhui unaanza kumuwakiaUchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhana π
Mbona amekuwa akisema gurudumu hilo kalikabidhi kwako,kama kazi imekushinda rejesha mpira kwake.Uchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhana π
Akimwaga upupu wengi wanajikuna huku.Wewe unamkejeli akianza kuandika yale magazeti yake yasiyo na maudhui unaanza kumuwakia