opportunist2012
Member
- Feb 8, 2012
- 92
- 9
Acha majungu wewe,mbona huelezi anashusha vipi taaluma kazi kulialia tu.Uvivu wa kujisomea mnasingizia Mkuu wa shule.Shule ina walimu wangapi ? Kila somo lina mwalimu ? Kuna maabara na vifaa vya kutosha ? Kuna library na vitabu vya kutosha ? Acha kulialia.Huyu mkuu mpya
aliyehamishwa Kahororo kutoka shule ya sekondari Bukoba ni kikwazo cha
maendeleo ya taaluma.Ameondolewa Bukoba sec baada ya matokeo mabovu ya
form iv kwani mwaka 2010 kulikuwa na ziro 95.Vilevile akiwa Kahororo
sekondari ameishusha shule kutoka ya 2 mpaka ya 14 kati ya shule 18
matokeo ya form vi mwaka 2012.Amekuwa akiungana na wanafunzi
kudharirisha walimu.
Lini sekondari zimeacha utaratibu wa kuchagua wanafunzi kwa kigezo cha Cuf-Off-Point na kuanza kutumia dini? Kwenye kuchagua wanafunzi unajua ni nani wanashiriki na mchakato ukoje?..Huyu mkuu anapendelea uislam hata alipokuwa Bukoba sec aliwajaza wanafunzi wa kiislam na kuacha kuwachagua wakristo.Isitoshe anashirikiana na afisa elimu kunyanyasa walimu wasio wazawa.
Una kila kimelea cha ubaguzi....chukua kauli mbiu ya Invisible "Ficha Upumbafu, Usifiche Hekima" kwa maana nyingine kutumia jina bandia haipaswi kuwa sababu ya kuandika upuuzi.....Isitoshe anashirikiana na afisa elimu kunyanyasa walimu wasio wazawa....