Pesa ipo mkuu, sema nahitaji ushauri kwanza sitaki niende kununua gari alf nianze kujutia.Bado haujafikia muda wa kununua gari aka (chuma)..
Nenda kanunue gari bro acha uoga..Pesa ipo mkuu, sema nahitaji ushauri kwanza sitaki niende kununua gari alf nianze kujutia.
Sent using Samsung Galaxy Note7
Aaasha aaaha2023 nanunua gari ya m10 kwa muda huo hata kama mkweche aka mabambala lakini nanunua gari.
naona dharau kitaaa ni kubwa sana.
Si unajua tena gari kama mke lazima ulichunguze kwanzaNenda kanunue gari bro acha uoga..
Bado haujafikia muda wa kununua gari aka (chuma)..
Hapo ukiagiza from Dar. Ya mwaka huo kibongo bongo hadi 32M. Hongera mkuu chombo cha maana sana mjini hapa
Very trueBado haujafikia muda wa kununua gari aka (chuma)..
Tafuta Land Rover Discovery ya Diesel