masanzaone
Member
- Jul 7, 2013
- 6
- 1
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza bwana bregrey j. nyakyuma hana sifa za kuongoza shule. hii imethibitika wazi kutoka kwa watu wake anaowaongoja. imesemekana kuwa mkuu huyu anaongoza shule kwa ukiritimba mkubwa bila kuzingatia utawala wa kidemokrasia. mfano imesemekana kwamba mkuu huyu
yeye ndiye anaefanya manunuzi yote yanayohusiana na matumizi ya shule
mwalimu yeyote anayejaribu kuhoji maatumizi ya shule humuita ofisini na kumufungia ili ampige hivi sasa amefanya hivyo kwa walimu watano
secondmaster amewekwa kama shati tu pamoja na idara zingine maana hazishilikishwi katika maamuzi yeyote ya shule.
yeye ndiye mwalimu wa darasa pamoja na zamu zote
hana utaratibu wa kusoma mapato na matumizi kwa wafanyakazi wezake
pesa za capitation hazijulikani zina kwenda wapi
huyo ndiye mkuu wa shule ya sekondary igoma.