mkuu shule ya sekondary igoma - mwanza hana sifa za kuongoza shule

masanzaone

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
6
Reaction score
1
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza bwana bregrey j. nyakyuma hana sifa za kuongoza shule. hii imethibitika wazi kutoka kwa watu wake anaowaongoja. imesemekana kuwa mkuu huyu anaongoza shule kwa ukiritimba mkubwa bila kuzingatia utawala wa kidemokrasia. mfano imesemekana kwamba mkuu huyu
yeye ndiye anaefanya manunuzi yote yanayohusiana na matumizi ya shule
mwalimu yeyote anayejaribu kuhoji maatumizi ya shule humuita ofisini na kumufungia ili ampige hivi sasa amefanya hivyo kwa walimu watano
secondmaster amewekwa kama shati tu pamoja na idara zingine maana hazishilikishwi katika maamuzi yeyote ya shule.
yeye ndiye mwalimu wa darasa pamoja na zamu zote
hana utaratibu wa kusoma mapato na matumizi kwa wafanyakazi wezake
pesa za capitation hazijulikani zina kwenda wapi
huyo ndiye mkuu wa shule ya sekondary igoma.
 
Masuala ya capitation yanamhusu CAG, nyie ulizieni development fund.

Nyie walim hamna organization inayo eleweka.
Mjipange mfuatilie.
 
atakuwa amewapunguzia kazi walimu wenzake na kuwapa fursa ya kwenda kuchanga 'nyati'kwa bodaboda
 
Majungu yataisha lini muwaache watu wafanye kazi? Nawachukia sawa watu hawa ambao hawana ubavu wa kumwambia mtu akikosea mpaka waje huku.
 
umbeya umbeya tu. pu.mbav.u zako
 
Hapa sio mahali pa kuwasilisha swala lako kuna mratibu wa elimu eneo husika peleka malalamiko yako utapata msaada sio humu.
 
Umbea na uzushi headmaster ampige mwalimu kawa mwanafunzi?? Hizi mada muwe mnaziacha hukohuko vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…