Mkuu wa Alshabaab auawa

Hivi hawa wakuu wa Alshabab wako wangapi? Kila siku mnawauwa hawaishi tu?

Nyie hata mkiuwa paka mtasema mmeuwa mkuu wa Alshabab. Wakenye kazini wanatafuta Dollar za mabwana zao.
 
Hivi hawa wakuu wa Alshabab wako wangapi? Kila siku mnawauwa hawaishi tu?

Nyie hata mkiuwa paka mtasema mmeuwa mkuu wa Alshabab. Wakenye kazini wanatafuta Dollar za mabwana zao.

Siunajua tena mazombi wa kidini ukiwaua wanateuliwa wengine maana ahadi za mabikira bado ziko pale pale......halafu kuna huyu mdada aliuliza swali kuhusu ahadi kwa nyie wanawake, kule mtanyanduliwa na akina nani au wanawake mnaonwa takataka tu, hebu mcheck huyu hapa Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…