Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Mkuu wa chuo kikuu Cha Victoria nchini Akamatwa akidaiwa kuwa ni shushu maalumu wa Rais Kagame

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Hivi majuzi vikosi vya jeshi la Uganda UPDF vimeivamia chuo kikuu Cha Victoria na kumuchukua Mkuu wa chuo hicho maarufu.

Dr Lawrence Muganga anadaiwa anaipeleleza serikali ya Museven na kumpelekea Rais Kagame wa Rwanda taarifa nyeti.

Bado haijulikani Dr Muganga kawekwa wapi. Dr Muganga ni mwanataaluma kijana anayeheshimika Sana nchini Uganda na ana asili ya Rwanda. Ni wale wanyarwanda waliozaliwa nchini Uganda ktk kambi za Wakimbizi enzi hizo. Amekuwa akijaribu kuhalalisha uraia wake wa Uganda bila mafanikio.
 
Mr slim sio mtu mzuri at all and ungrateful animal.
Uganda inamchango mkubwa kwa Mr slim hadi kuwa President ila bado anawazingua waliomsapoti.
Hana rafiki wa kudumu, Magufuli alipofariki kaanza kutafuta muafaka na Burundi na kutokuwa na uhakika na urafiki wetu baada ya ujio wa Rais Samia.
 
Hivi m7 na Kagame walipishana nini maana nakumbuka kipindi kile Kagame ana bifu na JK m7 alichagua upande wa Kagame
Wale waasi pale msituni congo.. hii yote kupigania madini kama hutu m7 kashakuwa bilionea kwa madini anayochota hapo
 
Back
Top Bottom