Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Chanzo ni tuhuma za Kagame kuipeleleza Uganda.Hivi m7 na Kagame walipishana nini maana nakumbuka kipindi kile Kagame ana bifu na JK m7 alichagua upande wa Kagame
Hana rafiki wa kudumu, Magufuli alipofariki kaanza kutafuta muafaka na Burundi na kutokuwa na uhakika na urafiki wetu baada ya ujio wa Rais Samia.Mr slim sio mtu mzuri at all and ungrateful animal.
Uganda inamchango mkubwa kwa Mr slim hadi kuwa President ila bado anawazingua waliomsapoti.
Anajua Rais MusevenKwanini Kagame kila kukicha?
Kagame anaogopeka utafikiri ni Putin. Hebu tuache kumpaisha huyu mwamba.Anajua Rais Museven
Ahitaji muafaka na burundi,anataka kumuingiza cha kike rais wa burundi akizubaa tu amle kichwa,waweke utawala wa kitutsi burundiHana rafiki wa kudumu, Magufuli alipofariki kaanza kutafuta muafaka na Burundi na kutokuwa na uhakika na urafiki wetu baada ya ujio wa Rais Samia.
Nakiona hicho kitu.Ahitaji muafaka na burundi,anataka kumuingiza cha kike rais wa burundi akizubaa tu amle kichwa,waweke utawala wa kitutsi burundi
Wale waasi pale msituni congo.. hii yote kupigania madini kama hutu m7 kashakuwa bilionea kwa madini anayochota hapoHivi m7 na Kagame walipishana nini maana nakumbuka kipindi kile Kagame ana bifu na JK m7 alichagua upande wa Kagame
Kwani M7 aliwekwa na Nani kua rais?Mr slim sio mtu mzuri at all and ungrateful animal.
Uganda inamchango mkubwa kwa Mr slim hadi kuwa President ila bado anawazingua waliomsapoti.
Hivi Burundi hata asipotaka nayo urafiki inaweza ikamfanya nini?Hana rafiki wa kudumu, Magufuli alipofariki kaanza kutafuta muafaka na Burundi na kutokuwa na uhakika na urafiki wetu baada ya ujio wa Rais Samia.
πππ Wanakapa ukubwa wa bure hako kajamaa.Kagame anaogopeka utafikiri ni Putin. Hebu tuache kumpaisha huyu mwamba.
Nini kilikuwa kiini cha ugomvi na JK na huyu Kagame "intaharamwe"Hivi m7 na Kagame walipishana nini maana nakumbuka kipindi kile Kagame ana bifu na JK m7 alichagua upande wa Kagame