wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
M7 aliwekwa madarakani na vita alioianzisha mwenyewe. Na kati ya wapiganaji 27 alioanza nao walikuemo wanyarwanda wengi sana hadi waliposhinda vita. Wanyarwanda walikua wanaongoza kuanzia platuni hadi divijonzi, wakati mseveni akitumia muda mwingi Sweden. Ukumbuke cabinet yake ya kwanza naibu waziri wa ulinzi alikua mnyarwanda pure.
Hiyo op ni hapa kwetu baada ya kupishana kimaneno na jkKwani Ile Operation nchi mzima ilifanya Rwanda waache kuiba madini maliasili za Congo?
Kagame anaibaje kiujanja ujanja wkt wote wawili na M7 walikua na makundi wanayoya support huko Congo waziwazi.Rwanda walikua AFDL,RCD,RCD Goma,M23 tena Congo PK amekua Muda mrefu kuliko hata M7.
Alikuwa anafanya nini Sweden?Huku mnyarwandwa Major General Rwigyema akiwa kaimu waziri wa ulinzi wa Uganda ndiye aliyeongoza vita ya kuikamata Uganda wkt huo M7 akiwa Sweden na familia yake,huku Kagame akawa Chief of military Intelligence (CMI).
Kukua pamoja na majukumu kufanana ndoshida hapoHivi m7 na Kagame walipishana nini maana nakumbuka kipindi kile Kagame ana bifu na JK m7 alichagua upande wa Kagame
Thanks,JK alimwambia akaelewane na waasi kwa njia ya mazungumzo. PK hakulipenda kabisa neno hilo na ndio mwanzo wa ugomvi. Lakini pia usisahau jamaa wote wawili ni wanajeshi so inawezekana JK alishtukia hila za PK
Ukiona mtu anafanya urafiki na Kagame, muonee huruma huyo mtu.
Alikuwa anafanya nini Sweden?
Ndiyo maana walimuua, Pastor alikuwa na siri nyingi sana za yule gaidiMtikila alisema mkampuuza
Jk alinuia kufanya nini hasa na hizo operations?..Kwenye suala la PK na JK lazima kuna kitu, JK alinusa! Ndiyo maana alianzisha operation,tokomeza na operation Kimbunga,kule kwenye mapori ya Kagera wanyarwanda walikua wamejaa tele!
Na huu ulikua mtego kwa PK ajibu kwa msela mtoto wa mjini JK,ndiyo Kagame angeona cha moto! PK hakujibu,alikaa zake kimya tu,zaidi yakusema maneno ya kike kwamba JK ni handsome,hawezi pokea ushauri toka kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kwanza walio nyuma ya Kagame ndiyo ujue in mwamba au si mwambaKagame anaogopeka utafikiri ni Putin. Hebu tuache kumpaisha huyu mwamba.
Wewe ndiyo useme walifata nini! Mimi sijui! Ngoja nitakutafutia hiyo clip! Kagame hawezi ifanya chochote Tanzania! Kipindi kile wanyarwanda wanafukuzwa huko maporini,mbona Kagame hakujibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana walimuua, Pastor alikuwa na siri nyingi sana za yule gaidi
Jk kupeleka jeshi Congo alienda kuziba mirija ya wizi wa Mali asili za CongoNini kilikuwa kiini cha ugomvi na JK na huyu Kagame "intaharamwe"
Museveni ameishi sanaSweden kama muomba uhifadhi wa ukimbizi huku akibeba boksi kama vile levy mwanawasa kama sijakosea ama Michael satta rais wa Zambia naye kabeba boksi sana London railway Station.Alikuwa anafanya nini Sweden?
Museveni aliiacha familia Sweden alipoanzisha gorilla war na Kagame.Museveni ameishi sanaSweden kama muomba uhifadhi wa ukimbizi huku akibeba boksi kama vile levy mwanawasa kama sijakosea ama Michael satta rais wa Zambia naye kabeba boksi sana London railway Station.
Labda huenda na mimi nikawa rais Bongo Nampango wa kuanzisha Green party.
Sky Eclat
Yule jamaa wa burundi anamisimamo hatari labda mr. Slim ndo ataliwa kichwa aseeAhitaji muafaka na burundi,anataka kumuingiza cha kike rais wa burundi akizubaa tu amle kichwa,waweke utawala wa kitutsi burundi
Yule jamaa wa burundi anamisimamo hatari labda mr. Slim ndo ataliwa kichwa asee
Kumbe unahitaji kabisa neno liwe limetamkwa?? Nimekuuliza swali,ni kauli zipi zilikua zinatolewa na viongozi wa Rwanda kwenda kwa JK??
Sent using Jamii Forums mobile app