Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jun 28, 2024 #21 Mzee wa kupambania said: Mbona ni Kawaida hilo OUT Click to expand... Hivi Nape SI anasoma OUT?
K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 1,390 Reaction score 1,431 Jun 28, 2024 #22 pia kwenye center zenu nyingi hakuna umakini wa kukagua vitambulisho na hapo kinondoni wanapo fanya practical napo kuna gap hakuna ukaguzi wowote mtu anakunya kufanya practical kwa niaba ya mwenzake
pia kwenye center zenu nyingi hakuna umakini wa kukagua vitambulisho na hapo kinondoni wanapo fanya practical napo kuna gap hakuna ukaguzi wowote mtu anakunya kufanya practical kwa niaba ya mwenzake