Kwenye halmashauli nayofanya kazi kuna rafiki yangu jumamos alipata dhalula kwa sababu ofisi za serikali zinakuwa zimefungwa week end kaamua kwenda kumwona mgonjwa.
Alikaa huko wiki mbili maana mgojwa alikuwa serious alivyorudi kazini kaambiwa mtoro hivyo yampasa asipewe mshahara kwasababu hajaomba ruhusa kimaandishi. Isitoshe anafanya kazi kijinini mbali na halmashauli.
Je sh ria ya kazi inasemaje maana taharifa ya kwenye simu ilikataliwa?