Mkuu wa idara ana haki ya kumsimamishia mshahara mtumishi bila utaratibu?

busness

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
27
Reaction score
9
Kwenye halmashauli nayofanya kazi kuna rafiki yangu jumamos alipata dhalula kwa sababu ofisi za serikali zinakuwa zimefungwa week end kaamua kwenda kumwona mgonjwa.

Alikaa huko wiki mbili maana mgojwa alikuwa serious alivyorudi kazini kaambiwa mtoro hivyo yampasa asipewe mshahara kwasababu hajaomba ruhusa kimaandishi. Isitoshe anafanya kazi kijinini mbali na halmashauli.

Je sh ria ya kazi inasemaje maana taharifa ya kwenye simu ilikataliwa?
 
kaka kikawaida usipokuwepo kituoni siku 5 mkuu wako wa kituo anatakiwa kutoa taarifa ila mshahara unasimamishwa kuanzia miezi 2 kama haupo kituoni, nachojua hapo wamekufanyia makusudi na hiyo hela wanakula una haki ya kwenda kushiytaki, kama ni mwalimu nenda cwt wilaya watakusaidia
 

Kutokuwepo kituo cha kazi kwa siku 5 na zaidi bila taarifa unachukuliwa hatu a za kinidhamu pia inawezekana kufukuzwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…