Mkuu wa Idara anafanya Igizo la kufifisha juhudi za mwajiri wake katika kuhamasisha chanjo? Huu ni Ugaidi!

Mkuu wa Idara anafanya Igizo la kufifisha juhudi za mwajiri wake katika kuhamasisha chanjo? Huu ni Ugaidi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa idara katika halmashauri zetu ni mtu mkubwa sana, yaani boss.

Sasa anawezaje kufanya igizo na nesi?

Inafikirisha sana yaani kama siyo uhujumu uchumi basi huu ni ugaidi.
 
Mkuu wa idara katika halmashauri zetu ni mtu mkubwa sana, yaani boss.

Sasa anawezaje kufanya igizo na nesi?

Inafikirisha sana yaani kama siyo uhujumu uchumi basi huu ni ugaidi.
Kumbe kuna muda huwa unakuwaga na utu? 🤣 🤣 Natumai kuna muda hutasherehekea mbowe kubambikiwa ugaid
 
Mkuu wa idara katika halmashauri zetu ni mtu mkubwa sana, yaani boss.

Sasa anawezaje kufanya igizo na nesi?

Inafikirisha sana yaani kama siyo uhujumu uchumi basi huu ni ugaidi.
Ni wazi kwamba neno ugaidi linatumika vibaya hapa Tanzania, ni sio tatizo la ukosefu wa elimu ya kutosha kwa polisi tu
 
Yule nurse ajengewe sanamu Kwa kutufungua macho
Nalog off
 
Ukiona hivyo ujue huyo mtumishi hataki kuchanjwa.

Haya ni matokeo ya kinachoendelea kwenye idara mbalimbali. Kuna tetesi zinasambaa wakuu wa idara wanaambiwa wakapate chanjo bila kupenda kama kwa lazima vile sababu muajiri wao mkuu akifanya vile adharani basi ni lazima aungwe mkono.

Inakuwa kama tamko au waraka uliotolewa kwa vitendo siyo kwa maneno na huyo mkuu kwamba chanjo ni lazima siyo hiyari kwa watumishi
....

Kama kweli tetesi hizi basi wanaofanya hivyo wanachafua taswira ya Mh. Mkuu sana mama wa raia. Wanachafua pia mpango wa chanjo.
 
Mkuu wa idara katika halmashauri zetu ni mtu mkubwa sana, yaani boss.

Sasa anawezaje kufanya igizo na nesi?

Inafikirisha sana yaani kama siyo uhujumu uchumi basi huu ni ugaidi.
Si mlisema utumishi wa umma umeimarika na hakuna ufisadi tena
 
Back
Top Bottom