Ukiona hivyo ujue huyo mtumishi hataki kuchanjwa.
Haya ni matokeo ya kinachoendelea kwenye idara mbalimbali. Kuna tetesi zinasambaa wakuu wa idara wanaambiwa wakapate chanjo bila kupenda kama kwa lazima vile sababu muajiri wao mkuu akifanya vile adharani basi ni lazima aungwe mkono.
Inakuwa kama tamko au waraka uliotolewa kwa vitendo siyo kwa maneno na huyo mkuu kwamba chanjo ni lazima siyo hiyari kwa watumishi
....
Kama kweli tetesi hizi basi wanaofanya hivyo wanachafua taswira ya Mh. Mkuu sana mama wa raia. Wanachafua pia mpango wa chanjo.