Mkuu wa Kamati ya Maandalizi ya Olympics ajiuzulu baada ya kukosolewa kwa kusema "Wanawake wanaongea sana"

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mkuu wa Kamati ya Maandalizi ya Olimpiki ya Tokyo, Yoshiro Mori (83) amejiuzulu nafasi hiyo baada ya kukosolewa kwa kutoa kauli ambayo imeonekana kutokubalika kuhusu Wanawake

Mori ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Japan alinukuliwa akisema Wanawake wanaongea sana na Vikao vyenye Wakurugenzi wengi wa Bodi ambao ni Wanawake vitachukua muda mwingi

Kauli yake haikupokelewa vizuri na kumekuwa na shinikizo kubwa kwa Mori kujiuzulu tangu mwishoni mwa wiki iliyopita licha ya kuomba msamaha

======

The head of the Tokyo Olympics organising committee has resigned after he was criticised for making "inappropriate" remarks about women.

Yoshiro Mori, 83, was quoted as saying women talk too much and that meetings with many female board directors would "take a lot of time".

The remarks set off a firestorm of protest and Mr Mori apologised at the time but said he would not resign.

But on Friday he apologised for his "inappropriate statement".

"What is important is to hold the Olympics from July. It must not be the case that my presence becomes an obstacle to that," he said at a special committee meeting on Friday, where he also announced his resignation.

It is not immediately clear who will replace Mr Mori, a former Japanese prime minister. He had initially selected well-known sports administrator Saburo Kawabuchi, 84, to replace him but this also led to protests.

The resignation came as pressure mounted on him over the past week. Major sponsors came forward to criticise his comments, including Toyota, one of the biggest Olympic backers.

Toyota's president Akio Toyoda said the company was "disappointed".

On Tuesday, a group of female lawmakers wore white in a protest against his remarks, with some men doing the same in solidarity.

And Tokyo Governor Yuriko Koike said she would not attend a meeting of high-level Olympic officials in protest.

According to local media, almost 400 people have also withdrawn applications to volunteer at the Olympic games, which are scheduled for later this year.

The committee board currently has 24 members, five of whom are women. In 2019, the committee - which is responsible for selecting Japanese Olympians - set itself a goal of increasing the number of female board directors to 40%.

"If we increase the number of female board members, we have to make sure their speaking time is restricted somewhat, they have difficulty finishing, which is annoying," Mr Mori was quoted as saying.

"We have about seven women at the organising committee, but everyone understands their place."

Mr Mori is known in the country for a string of gaffes and undiplomatic statements made while in office from 2000 to 2001.

He told Japan's Mainichi newspaper that female family members had also lambasted him after his comments.

"Last night, my wife gave me a thorough scolding. She said: 'You've said something bad again, haven't you? I'm going to have to suffer again because you've antagonised women'," he said.

"This morning, my daughter and granddaughter scolded me as well," the paper quoted him as saying.
 
Mbona kitu kiduchu tu ati anazira! Huku kwetu mtu anatoa kauli ya "siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa" na mtu hajiuzuru!
 
Wanawake wanaongea sana kuliko wanaume.

Wana saikolojia wanasema wanawake wanaongea zaidi ya maneno alfu ishirini kwa siku.

Wakati huo wanaume wakiongea maneno alfu sita tu.

Kwa hiyo wakati mwanaume yupo kimya haongea basi mwanamke muda huo anautumia kuzungumza maneno yake alfu kumi na nne.

Ukitaka kuamini wewe umerudi kazini mchokoze wife wako enhee habarii za hapa umeshindaje,ataanza kukupa stori kibaao wewe msikilize tuuu mpaka atamaliza hapo wewe kazi yako umpe sikio tu.

Lakini ujinga ni kuwa wanawake ukiona wanaongea ujue mambo mawili.

1.anakupa malalamiko juu ya jambo lake kwako.

2.ama anakusimulia matukio ya watu wengine yaliyotokea.

Lakini mwanamke hawezi kutumia muda mwingi kukuelezea anavyokupenda na vile anakumisi ukiondoka no no wao walalamike watie stori wakupe michapo ya watu wengiine.

Ndio asili na maumbile ya wanawake.

NB hata sisi tuna ambayo wanawake hawapendi kutoka kwetu lakini mada ya leo inagusia wanawake hivyo asitokee mtu akatoa hoja kwa nini wanaume niisiwataje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…