nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Upeo wako wa kufikiri ndipo unapokomea. Hatuna cha kukusaidia, kaa hivyohivyo.Kuamini uchawi ni kubaya Sana game imehairiashwa kisa mlozi kasema simba mkicheza leo mtapigwa na kitu kizito kichwani.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hapana japo mie ni yanga,wachezahi wa simba wanaume,ni sawa kuahirishwaKuamini uchawi ni kubaya Sana game imehairiashwa kisa mlozi kasema simba mkicheza leo mtapigwa na kitu kizito kichwani.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app