Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi,mwandani na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini humo amewaambia makuruta watize wajibu wao na wasiogope kufa kwani hata wakifa wataenda kupumzika mbinguni.
My take:
Kiongozi huyu anajua hawatarudi urusi,ndio basi tena himars zinaenda kuwafyeka.Putin hii dhambi ya kuua watoto wa wenzie sijui atatubia wapi.
My take:
Kiongozi huyu anajua hawatarudi urusi,ndio basi tena himars zinaenda kuwafyeka.Putin hii dhambi ya kuua watoto wa wenzie sijui atatubia wapi.