Pre GE2025 Mkuu wa Kikosi Kazi cha Viongozi wa Dini Askofu Dr. Shoo ameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Wananchi kuhusu Miswada!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Viongozi wa Dini kwa kauli Moja wameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Wananchi kuhusu Miswada

Mkuu wa Kikosi Kazi cha Viongozi wa Dini Askofu Dr Shoo amesema wao wataendelea kutoa Elimu ya Uraia kwa Wananchi

Naye naibu Mufti ametaka uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi ili kudumisha amani na kuaminiana miongoni mwa Viongozi na Wananchi kwani kuna maisha kila baada ya Uchaguzi

Chanzo: Upendo TV
 
Source Upendo TV
Ameshatoa maoni kwenye Kamati atulie Sasa mchakato ufuate utaratibu. Asiteke kushinikiza naona yake na washirika wake
 
Back
Top Bottom