Utakatifu na haki
Member
- Jun 17, 2020
- 75
- 268
Afande hizi dhamana mnazopewa zina mwisho na hakuna ubaya usiomalizika kwa FEDHEHA.Lakini kuna muda rushwa inasaidia sana vinginevyo unaweza ukajikuta matatani zaidi...
Kama unahisi umeonewa basi komaa kesi ifike mahakamani, haki itatendeka!
CCM kwa kuomba rushwa wako vizuriMaaskari katika kituo hiki wanafanya kazi vizuri ila wachache wamekithiri rushwa! Waonye asikari hao!
Nikiwa kwenye daladala naenda Tunduru! Tulikaa na mama mmoja; yule mama alipigiwa simu na asikari wa kituo hicho akimwambia apeleke 70,000 kama sivyo kesi itapelekwa mahakamani, yule nimekaa naye alafu kwenye daladala watu wengi.
Mama anaongea kwa sauti anambembeleza huyo asikari kuwa ana 50,000 amsaidie lakini asikari anagoma kabisa, yule mama ni mkulima anamwambia yule askari kuwa ndo anaenda kukopa kwa ndugu zake, kiukweli nilihuzunika sana.
Hiyo siku imepita tumekaa sehemu vijana wa Bodaboda akaja anahuzunika Pikipiki yake imenyanganywa! Ameombwa Rushwa ya Tsh 70,000 hiyo hela hana! Anawatafuta ndugu zake wamsaidie!
Note: Toshekeni na mishahara yenu! Hawa mnaowaomba Rushwa, jua kwamba hawana hela. Msipeleke laana nyumbani, unajisikiaje unachukua hela ya mtu ambaye yamkini hiyo hela ni ya kulipia Mtoto shule wewe unaenda nayo nyumbani kula kufurahi na familia yenu.
Kibaya zaidi mnaowaomba Rushwa hawana siri!
Nadhani ni bei elekeziAlafu dau lao elfu sabini tu au vipi
Dah jamaa standard yao ni 70,000Tshs tu! They take no more no less! Nadhani hii ni bei elekezi kutoka TRA, tax hapo 18%Maaskari katika kituo hiki wanafanya kazi vizuri ila wachache wamekithiri rushwa! Waonye asikari hao!
Nikiwa kwenye daladala naenda Tunduru! Tulikaa na mama mmoja; yule mama alipigiwa simu na asikari wa kituo hicho akimwambia apeleke 70,000 kama sivyo kesi itapelekwa mahakamani, yule nimekaa naye alafu kwenye daladala watu wengi.
Mama anaongea kwa sauti anambembeleza huyo asikari kuwa ana 50,000 amsaidie lakini asikari anagoma kabisa, yule mama ni mkulima anamwambia yule askari kuwa ndo anaenda kukopa kwa ndugu zake, kiukweli nilihuzunika sana.
Hiyo siku imepita tumekaa sehemu vijana wa Bodaboda akaja anahuzunika Pikipiki yake imenyanganywa! Ameombwa Rushwa ya Tsh 70,000 hiyo hela hana! Anawatafuta ndugu zake wamsaidie!
Note: Toshekeni na mishahara yenu! Hawa mnaowaomba Rushwa, jua kwamba hawana hela. Msipeleke laana nyumbani, unajisikiaje unachukua hela ya mtu ambaye yamkini hiyo hela ni ya kulipia Mtoto shule wewe unaenda nayo nyumbani kula kufurahi na familia yenu.
Kibaya zaidi mnaowaomba Rushwa hawana siri!
Ni vile tu wananchi hawajui kazi zao kesi ya traffic ikifika mahakamani unajikua unalipa hela ndogo sana au unaweza kuachiwa kabisa na unapewa chombo chako sema tatizo la mahakamani ni muda mwingi kupotea unakua hufanyi shughuli za uzalishajiLakini kuna muda rushwa inasaidia sana vinginevyo unaweza ukajikuta matatani zaidi...