Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Unaweza kuweka ushahidi wa hichi unachoongea au unabisha kufurahisha nafsi yako kwa mizuka ya kidiniHawajaingia Lebanon wamevunja nyumba kama ngapi pale kwa kutumia ndege za vita ku boom zile sehemu. Afu wakashusha sijui askari na hizo silaha eti Hezbullah anatumia nyumba, ili wapate reason ya kuvunja majumba [emoji1]
Hivi kobazi mnafundishwa ubishi na uwongo kwenye dini yenu?Hawajaingia Lebanon wamevunja nyumba kama ngapi pale kwa kutumia ndege za vita ku boom zile sehemu. Afu wakashusha sijui askari na hizo silaha eti Hezbullah anatumia nyumba, ili wapate reason ya kuvunja majumba [emoji1]
Hata Naslallah aliuwawa akiwa kwenye kambi ya kijeshi ya Hezbollah sio kwenye majumba ya watu underground BeirutHawajaingia Lebanon wamevunja nyumba kama ngapi pale kwa kutumia ndege za vita ku boom zile sehemu. Afu wakashusha sijui askari na hizo silaha eti Hezbullah anatumia nyumba, ili wapate reason ya kuvunja majumba 😄
Ngoja waje!Wamewezaje kuingia? Mbona taarifa za humu tunaambiwa Israel inachezea kichapo toka kwa Hezbollah?
Hizbullah angekua kaishiwa silaha israel angekua beirut muda huu, lakini jana kyriat shmona,safed, galilaya,tel aviv kote roketi zimepiga mpaka kuua mazayuniEndelea kujifariji na story za kwenye gahawa.Hakuna sehemu myahudi anafanikiwa kama kwenye operation hii.Hizbullah wamekuwa mdebwedo sana.
Asilimia 90 ya silaha zao zimeteketezwa na kufikia wiki ijayo tutaongea mengine
Nenda telegram resistance trench, middle east spectator etcleta chanzo hapa, acha mdomo
Wengine wakienda huko si watakuta mabikira wameisha?Tuendelee kuliombea Taifa teule [emoji1134] ili magaidi wote wapelekwe ahera wakaogelee kwenye mito ya pombe huku wakiendelea kujivinjari na mabikra 72
Nasurlah alikuwa kwenye HQ ya Hezbullah, sio vitani au kwenye camp za Hezbullah, na pia Israel walikuwa wanasaidiwa na Jasusi kutoka Iran wengine wanasema huyo Kamanda Mkuu wa IRG ndio wakajuwa yuko wapi.Hata Naslallah aliuwawa akiwa kwenye kambi ya kijeshi ya Hezbollah sio kwenye majumba ya watu underground Beirut
Siku zote ukisikia mtu anasema Wala mirungi wa Yemen wanaweza kuipiga Marekani achana na Taarifa yoyote atakayokupa.Wamewezaje kuingia? Mbona taarifa za humu tunaambiwa Israel inachezea kichapo toka kwa Hezbollah?
Hawa Hezbollah Wanapigana kidada Sana...Hizbullah angekua kaishiwa silaha israel angekua beirut muda huu, lakini jana kyriat shmona,safed, galilaya,tel aviv kote roketi zimepiga mpaka kuua mazayuni
Hamas hawanaga shughuli ndogo, mdogo mdogo tu wanakula vichwaTuendelee kuliombea Taifa teule [emoji1134] ili magaidi wote wapelekwe ahera wakaogelee kwenye mito ya pombe huku wakiendelea kujivinjari na mabikra 72
Anayejificha kwa askri wa UN ni israelHawa Hezbollah Wanapigana kidada Sana...
Yaani baada yakudishwa nyuma wameenda kujificha kwenye Askari wa UN
Ni kweli kabisa HQ aliyokuwepo Naslallah ilikuwa nje ya mji wa beirut nje na makazi ya watu , Ila Israel akapiga makusudi makazi ya watu Kama tulivyoona Nyumba nyingi zikiwa zimezunguka ile Nyumba iliyopigwa na IsraelNasurlah alikuwa kwenye HQ ya Hezbullah, sio vitani au kwenye camp za Hezbullah, na pia Israel walikuwa wanasaidiwa na Jasusi kutoka Iran wengine wanasema huyo Kamanda Mkuu wa IRG ndio wakajuwa yuko wapi.
Kuna akina İbrahim Rahbi Kibao humu jamvini wana support ugaidiWamewezaje kuingia? Mbona taarifa za humu tunaambiwa Israel inachezea kichapo toka kwa Hezbollah?
Hapana HQ ya Hezbullah sio ya kijeshi kumbuka Hezbullah ni chama cha siasa na kina wafuasi wake wengi ambao ni civilian hawahusiki kabisa na mambo ya kijeshi. Wala hawajui mambo ya kijeshi mfano kule Israel si kuna wako Likud Party ya kina nyau, ukawapige raia wa chama hicho useme na wao askari 😄 nyie vichaa kweli.Ni kweli kabisa HQ aliyokuwepo Naslallah ilikuwa nje ya mji wa beirut nje na makazi ya watu , Ila Israel akapiga makusudi makazi ya watu Kama tulivyoona Nyumba nyingi zikiwa zimezunguka ile Nyumba iliyopigwa na Israel
Wataishaje wakati Faiza fox hajaenda huko..!!Wengine wakienda huko si watakuta mabikira wameisha?
Kaangalie. Chanel ya Al Jazeera., uone kuanzua Jana myaud anapiga katikati mwa lebanoni nakobasi zinazid kuishaUongo mtupu Hizbollah wanakiri hakuna eneo Lebanon ametua myahudi
Mazayuni ata salinu amri tu. Mpaka Sasa anambembeleza baba yake mmarekani ampe ulinzi akichafua hewa mambo yakimuelemea anajua ni kupigo Cha mbwa koko tu.Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Herzi Halevi akiambatana na Mkuu idara ya Usalama wa ndani Shin Bet jasusi mbobezi Ronen Bar watembelea leo hii kibabe kabisa kusini mwa Lebanon.
Wababe hao wameapa kuwa magaidi wa Hezbollah na wenzao wote hata wajifiche ardhini au angani watasakwa na kuangamizwa kabisa na raia kaskazini mwa Israel watarejea majumbani mwao na kuishi kwa amani.
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
October 11, 2024
IDF chief, Shin Bet head visit south Lebanon, vow Hamas and Hezbollah will ‘remember the lesson of October 8’
Today, 2:41 pm
IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi visited southern Lebanon with Shin Bet head Ronen Bar on Thursday, the military says in a statement, where they held a situational assessment with the IDF’s Northern Command chief and the head of the 91st Division.
In remarks to troops at the end of the assessment, Halevi said that Israel will “continue to operate against the enemy, and will not stop until we ensure that we can bring the residents back to safety, not just now but for the future as well.”
“If anyone considers rebuilding these villages again, they’ll know that it’s not worth constructing terrorist infrastructure because the IDF will destroy it again,” he said, referring to the southern Lebanon villages that Israel says have been used as hubs of operation by the Hezbollah terror group.
“Israel is operating across all arenas, both in the Belaa Valley and in Beirut, north and south of the Litani, and all these efforts are working very effectively,” Halevi continued, vowing that the military is “focused” on its work “so that the residents of Israel can celebrate the holidays and live here securely for years to come.”
Following on from Halevi, Bar told troops that the State of Israel “cannot protect its residents from terrorists solely with shopping mall security guards, nor defend against rockets only by building shelters,” but rather, during times of war it must have “freedom of action” to practice defense “on both sides of the border.”
“In the last few years, we have seen Hamas entrench itself in Lebanon, and this will intensify as they move out of Gaza and their focus shifts here,” he said. “We will continue to pursue them everywhere. We will always remember the massacre of October 7, and we will ensure they remember the lesson of October 8.”
Kaangalie. Chanel ya Al Jazeera., uone kuanzua Jana myaud anapiga katikati mwa lebanoni nakobasi zinazid kuisha