Mkuu wa majeshi Israel na Mkuu idara ya ujasusi ya shin bet watua Lebanon ya Kusini, waapa kuwasaka na kuwaangamiza magaidi popote walipo

Hawajaingia Lebanon wamevunja nyumba kama ngapi pale kwa kutumia ndege za vita ku boom zile sehemu. Afu wakashusha sijui askari na hizo silaha eti Hezbullah anatumia nyumba, ili wapate reason ya kuvunja majumba 😄
Your browser is not able to display this video.
 
Wanaabudu mizimu inayoitwa Allah. Wataangamia. Israel Aishi.

Na kwa taarifa, hapo waliopo ni kabila la Yuda na Benjamin hao 10 hawajarudi bado
 
Kaangalie. Chanel ya Al Jazeera., uone kuanzua Jana myaud anapiga katikati mwa lebanoni nakobasi zinazid kuisha
Zile ni long range missiles wanapiga na ku-target wakiwa mpakani huko sio ndani ya lebanoni
 
Tuendelee kuliombea Taifa teule [emoji1134] ili magaidi wote wapelekwe ahera wakaogelee kwenye mito ya pombe huku wakiendelea kujivinjari na mabikra 72
mama ako aliyepo kijijini hautaki kumuombea njaa isimuue? Kakuzaa kakulea kwa shida na hilo taifa teule halijawahi kuleta mkaa wala sukari mama ako akupikie uji unywe.
 
mama ako aliyepo kijijini hautaki kumuombea njaa isimuue? Kakuzaa kakulea kwa shida na hilo taifa teule halijawahi kuleta mkaa wala sukari mama ako akupikie uji unywe.
Dah! "..taifa teule halijawahi kuleta mkaa wala sukari...." Hiki bado hakiwezi kuwa ndo kigezo cha kutokuliombea taifa teule. Halafu hilo taifa sio ndilo lilisababisha njaa huko kijijini.
 
Umeandika ukiwa na furaha kabisa utafikiri raia wa Israel!!! Unashabikia vita bila aibu kabisa!!! Hatari kubwa!
 
Umeandika ukiwa na furaha kabisa utafikiri raia wa Israel!!! Unashabikia vita bila aibu kabisa!!! Hatari kubwa!
Mkuu; unadhani raia wa Israel ndo wanaifurahia hiyo vita?
Naomba nikuulize kaswali kadogo tu: Hivi ni yupi kati ya wawili hawa anayetakiwa kuona aibu? Aliyevua nguo na kutembea hadharani au yule anayemtazama huyo aliyevua nguo na anatembea hadharani? Ni hilo tu mkuu - samahani lakini.
 
Muungwana akivuliwa nguo hutama!!! Kwa kawaida ukiona mtu anatembea bila nguo ujue ana matatizo ya akili!! Na kwa sababu hiyo muonaji ndiye upata aibu! Naomba nijuze kati ya hao wanaopigana ni nani ambaye hana nguo na ni nani anatazama utupu wa mwenzake?
 
Wamewezaje kuingia? Mbona taarifa za humu tunaambiwa Israel inachezea kichapo toka kwa Hezbollah?
Wewe unaamini kweli wameingia? Wamechukia ka clip hapo kwenye vijiji vya mpakani na Lebanon upande wa Israel halafu wanarusha. Hao watu ni waongo Dunia nzima inajuwa
 
Ukizingatia kwamba KOTE wanalia i.e. Israeli wanalia, Lebanon(Hezbollah) wanalia na Gaza (HAMAS) nao wanalia. Hakuna mwenye furaha hapo. Mashabiki (watazamaji)ndo wapo wanaofurahia pindi upande wao unapopata mafanikio au hawafurahii inapokuwa tofauti na matarajio yao. Mashabiki (watazamaji) katika matukio yoyote iwe ni ya huzuni, furaha au ya kutisha huwepo siku zote na huna uwezo juu yao.
Kwa mantiki hiyo, anayetazama na asiyetazama utupu wa mwenzake isiwe ni hoja kwako.
 
Kipigo alichopigwa Hezbollaah hata shetani anashangaa, kipigo kitakatifu, hivi sasa Hezbollaah hawataki kushika simu au PC au radio calls yaani hawana electronics gadgets, hawakai kwenye mahandaki tena, wamekimbia mbali na kujificha kwenye nyumba za raia na kukimbia Beirut kabisa, mbaya sana kwa Hezbollaah
 
Wewe unaamini kweli wameingia? Wamechukia ka clip hapo kwenye vijiji vya mpakani na Lebanon upande wa Israel halafu wanarusha. Hao watu ni waongo Dunia nzima inajuwa
Inawezekana ikawa hivyo kweli kwamba hata Vyombo mbalimbali vya Habari kimataifa na hata UN walinzi wa amani (buffer zone) kati ya Israeli na Lebanon nao waseme uongo? Je, hata hao wahanga wanaokimbia mapigano au wale walionaswa ndani ya mapigano nao waseme uongo?? Je, Hezbollah wenyewe wanaoilalamika kwamba IDF imebomoa shule,makanisa etc nao ni waongo?
 
Kubomoa shule na makanisa wanatumia Fighter jets siyo lazima wawepo physically eneo la tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…