Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na kukutwa NEGATIVE.

WAPOPO wameahidi REVENGE ya kutisha huko river state kwamba utopolo players kumi watakutwa na corona na kuna msemaji ana UPUNGUFU WA MELANIN mwilini litakolomkuta haliwahusu

LONG LIVE RIVERS UTD IGWEEEEEEEEE

😉
🤭

Rivers United media officer, Charles Mayuku was allegedly hit with an unknown object in Tanzania according to football writer and pundit Adepoju Samuel.

This was during Rivers United’s CAF Champions League match against Young Africans

May be an image of 1 person and indoor
 
hawa jamaa wanazidi kutuaibisha halafu ule uongo wa Simba wanapuliza dawa jana umewarudia kwani wanaijeria wamegoma kuingia kwenye vyumba vya nguo.
 
Rivers niwasaidie tu vipimo
Diara yule ana Covid19
Feisal yule ana Covid19
Mwamnyeto pia ana Covid19
Tonombe mkoko pia ana Covid19

Hao wengine akina Nchimbi waacheni hata Goli wazi mtatoka na cleansheet
Believe me Utopolo ikiwa hivi watagomea mechi ili wapate sababu za kuwadanganya misukule Yao(mashabiki wa yanga ni misukule hawajitambui)
 
Wala usifikiri kuwa Rivers ni serikali au wapo juu yasheria,kikubwa utaratibu ufuatwe tu. Ameumizwa aende police ubalozini kwao akashitaki.
 
Wala usifikiri kuwa Rivers ni serikali au wapo juu yasheria,kikubwa utaratibu ufuatwe tu. Ameumizwa aende police ubalozini kwao akashitaki.
Wao wamesema hawatashitaki, ila wameahidi mkienda kwao mtawaelewa.
 
Utopolo na mbinu za kishamba sana!
Mwaka jana Simba ilikuwa fair sana.Hakukuwa na key players wa timu pinzani tena zile ngumu waliokutwa na covid kimagumashi kama mnavyofanya utopolo.

Mkasingizia Simba imebebwa na Corona!
Hii Simba mbona inatisha kama ni hivi!
TFF inaibeba,CAF inaibeba,FIFA inaibeba,CAS inaibeba,waamuzi wanaibeba,serikali inaibeba,hata CORONA nayo inaibeba?!!This is Simba!
 
Back
Top Bottom