Nakuona a guy who knows a guyBrigedia Jenerali Marco Gaguti, mtu mmoja safi sana....
Nakuona a guy who knows a guy
Sawa sawaHe is a very smart fella...
He is a very smart fella...
Nakusalimia tu mkuu ,long timeBrigedia Jenerali Marco Gaguti, mtu mmoja safi sana....
Huyu hakuwa mstaafu kwa mujibu wa aliyemteua. Lakini hata kama mstaafu Mkuu si anakuwa anajua mengi haipendezi kumuanika.Most of the time, hawa wanaotajwa vyeo vyao wanakuwa wamestaafu na wametumwa hapo kwa kazi maalum, akimaliza anapumzika zake
DCI cheo juu yake si IGP tu? Dah kwa hiyo u aweza kuta DC aliyepo ni askari wa cheo cha chini yake halafu nani atampigia mwenzake salute?Anaenda kuungana na DCI Diwani Athuman akiwa ni RAS wake..sasa wakachape kazi hakuna namna
Nakusalimia tu mkuu ,long time
Huyu hakuwa mstaafu kwa mujibu wa aliuemteua. Lakini hata kama mstaafu Mkuu si anakuwa anajua mengi haipendezi kumuanika.
Sawa sawiaNi kweli mkuu...i hope mambo yote yapo sawia
Mkuu kuna specho assignments ambazo mhusika ili aweza kutimiza "majukumu kikamilifu" anapewa cheo chochote haka kuliko elimu au kazi yake!DCI cheo juu yake si IGP tu? Dah kwa hiyo u aweza kuta DC aliyepo ni askari wa cheo cha chini yake halafu nani atampigia mwenzake salute?
Okay. Ahsante sana Mkuu kwa nieleimisha. Nimekupata vizuri sana lakini ndio kumpeleka Boss kabisa hata Deputy wake basi.Mkuu kuna specho assignments ambazo mhusika ili aweza kutimiza "majukumu kikamilifu" anapewa cheo chochote haka kuliko elimu au kazi yake!
Tulia. Hawa majirani zetu ni kazi ya mikono yetu wenyewe!...proudly JWTZ.....hima himaaaaaaa Tanzaniaaaaa....Hima himaaaaaaa Tanzaniaaaaaa
Habari wakuu. Kwa mujibu wa Rais wakati anawaapisha wakuu wa mikoa wapya leo Ikulu alitamka kuwa aliyemteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alikuwa Mkuu wa Intelijensia ya jeshi ( MI).
Je ni sawa kutamka hadharani kuwa alikuwa Mkuu wa MI? Hakuwezi kumfanya akawa target zaidi huko anakoenda ukizingatia anaenda mpakani?
Pia naona Mkuu wa MI ni mkubwa sana kuwa RC. Sio mjuzi ila ni mtu ambaye yuko karibu sana na cheo kikubwa kabisa cha jeshi( mtanikoa kama ntakuwa nimekosea) kwani hata RC aliyekuwepo hapo Kagera kabala ya kusataafu alikuwa Meja jenerali tu. Huyu ni Brigedia jenerali
Kumbe unamfahamu eeehh... Ni mtu safi sana yule... Mchapaj kaz poa tu... Pale kigoma alikuwa anashikilia wilaya mbili ambazo ni BUHIGWE na KASULU... Kwanzaa jnc zle wilaya zilivyokubwa + changamoto zake zlvo nyingi bdo Jamaa alimudu kotekote mpk rais nahc ali4gt kama KASULU haina DC ambapo BG MARCO ndo alikua anakaimu...Brigedia Jenerali Marco Gaguti, mtu mmoja safi sana....